Wazazi walihamia kikaza Moro mwaka 1999 walipanga,me nilikua vidudu,baada ya kumaliza kazi,wakahama Moro mwaka 2009
me nilikua secondary school nikashindwa kuhama Moro nilikua form 6 halafu shule ya kutwa so nikawa nakaa geto la bro ambae alikua houseboy wetu mtaa mwingine,bro fear Kula kulala bureeee sichangii nikamaliza shule, kurudi kwetu sitaki lol,,nikaa na bro kama miaka 3,,nafanya kazi fedha zangu Bata mademu,,mwaka 2013 bro kanambia anataka kuoa so pale atahama chumba ataniachia ila kwa kuanzia atanilipa Kodi miezi 6,,kweli December akaoa Kodi hajanilipia,akasema kumaliza pesa kwenye harusi,,Kodi elfu 50 kwa mwezi inatakiwa tsh 300000 mfukoni nina elfu 20000,nakumbuka niliuza iPhone yangu 5s laki 400 ndio nikapata Kodi,tangu hapo Hadi leo sijawahi kulala kwa mama na baba,hata kwa bahati mbaya