Ulianzaje kukaa gheto?

[emoji23][emoji23][emoji23]kwani nikipanda mwendokasi sifiki?
Wee mwendokasi hiyo vepeeeee? Aaaaaah unakuja na ndinga qaree huku usajili ukiwa na jina cocastic mchecheto, hapo sasa lazima mambo yajipee. Uwiiiiiiiiiiih
 
Miminilimaliza chuo baada ya mwaka nikapata bonge la dili ndani ya mieizi mitatu nikapanga apartment Kunduch, nikanunua alteza, na fenicha zote za ndani na mazga zaga yote. Aisee kusema kweli nilianza ishi bila shida maana nilihamia nina kila kitu kuanzia kitanda, washing machine, friji na matakataka yote. But the good times hazi ku last for ever, baada ya miaka mitatu mambo yalinienda kombo balaa.
 
Mzee hukuzichanga karata vizuri...miaka mitatu ya kupanga kunduchi duu!!
 
Mzee hukuzichanga karata vizuri...miaka mitatu ya kupanga kunduchi duu!!
Mkuu kwa kipiindi hicho nilikuwa naingiza pesa nilikuwa napiga project flani nakula karibu miasaba kwa week au zaidi ukichanganya na ujana na sina wa kunitegemea basi nilikuwa nakula bata na kusafiri safiri maana kazi niiliyokuwa ninafanya ilikuwa inaniruhusu kuwa mahali kokote ili mradi kuna masaa flani kama tatu kwa siku niwe online. Sasa project ilikuja kukata baada ya huo muda sina biashara wala nini ila nilikuwa nimeanza jenga sehemu na ndo kwanza ninaanza... Nilipigika mwaka mzima sema mambo yakajaa kaa tena japo si kama awali.
 
Aisee pole sana mkuu lakini hope ulijifunza kitu...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…