Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Huu uzi ulinimotivate sana nikasem hapan lzm nifanye kit b4 wa sita mung ni mwema niko kwangu peace of mind ipo japo kuna ile uoga flan nitasastain vip nikikosa je ila naamin mungu hataniacha
Kila lakheri mkuu

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Wakuu ndo namalizia bado jiko na sufulia
IMG_20200531_154645_8.jpg
IMG_20200531_154637_3.jpg
IMG_20200531_154648_0.jpg
 
Mimi nilipoanza kuishi mwenyewe mkoa tofauti na nyumbani walinipa kitanda godoro na vitu vingine nikakataa, nilienda na begi langu tu kufika nikanunua godoro langu nikaanza kupiga nyama chini, nimenunua vitu vyangu Sasa ni mwendo mdundo tu, sikuwahi tegemea kuwa ipo siku nitaweza ishi mwenyewe nilishazoea nyumbani kila kitu free, at least nami nimepata Cha kusimulia wanangu loh, nimejifunza ku budget leaving on my own mwanzo ilikuwa ngumu, nilijitahidi hata kutokuwaambia nyumbani, nashukuru Mungu naishi mwenyewe kwa kujitegemea, nimenunua vitu vyangu nadunda zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inanithibitishia kuwa jimbo lipo wazi, uchaguzi unakaribia[emoji23][emoji23]
 
Vijana wenyewe ni pasua kichwa they gave nothing to offer rather than stress, as long Nina place pa kulala na ninajiweza why bother
But you need a shoulder to lean on! Hilo halina pingamizi, swali ni je, nani anafaa kugombea jimbo?
 
Back
Top Bottom