Ulianzaje kukaa gheto?

@Krikichino
Akiri yako inabadilika kutokana na mazingila unayokuepo
Ukiwa nyumbani Bado upo nyumbani,akili yako haiwezi kunyumbuka Kama unaishi geto
Ukiwa getto ndio akili yako itanyumbuka kujua your special needs,ule Nini,uvae na Kodi pia
Mimi nmelalia mkeka kwa kipindi kirefu tu[emoji17]
Juu ya mkeka pana nguo ili mbavu zisiume ,sikua na mto zaidi ya begi la nguo,
Hebu nikupe picha zinaweza kukupa moyo.
 

Attachments

  • IMG-20200229-WA0012.jpg
    40.1 KB · Views: 37
Wakati nlianzia huku
Kitu muhimu Ni money management
Kila shilingi inayotoka lazima iwe na umuhimu na ulazima wakutoka.View attachment 1473237
 
Dah[emoji16]
 
Well said mkuu
 
Noted!
 
Sure mkuu, mtoto wa kiume ukikaa tu home akili inaalala, hainyumbuki kabisa, m nilipo Anza kukaa ghetto ndo nikakutana na changamoto za Maisha ikabidi niongeze ufanisi wa kazi ninayoifanya
At least now I can work and earn money easily.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…