Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kwa nnayopitia hapa nnapoishi mwaka Huu hauishi I'll be out.

Thomas Sankara once said "he who Feeds you Controls You"

We unaona Unakua ila mlezi bado anakuona kama A Ten Year Old. It hurts. Hasa kufokewa mbele za watu.

Anyway it's time to find out who I really am. Ugali wa Bure kwa mtoto wa kiume una karaha Sana.

Nashkuru Sana mleta uzi na wachangiaji wote. Mmenifunza Mno. Nadhani muda umefika Sasa for the bird to get out of the cage.

Beyonce - Formation
@Krikichino
Akiri yako inabadilika kutokana na mazingila unayokuepo
Ukiwa nyumbani Bado upo nyumbani,akili yako haiwezi kunyumbuka Kama unaishi geto
Ukiwa getto ndio akili yako itanyumbuka kujua your special needs,ule Nini,uvae na Kodi pia
Mimi nmelalia mkeka kwa kipindi kirefu tu[emoji17]
Juu ya mkeka pana nguo ili mbavu zisiume ,sikua na mto zaidi ya begi la nguo,
Hebu nikupe picha zinaweza kukupa moyo.
IMG-20200209-WA0002.jpg
IMG-20200217-WA0017.jpg
IMG-20200223-WA0013.jpg
 
Attachments

  • IMG-20200229-WA0012.jpg
    IMG-20200229-WA0012.jpg
    40.1 KB · Views: 37
@Krikichino
Akiri yako inabadilika kutokana na mazingila unayokuepo
Ukiwa nyumbani Bado upo nyumbani,akili yako haiwezi kunyumbuka Kama unaishi geto
Ukiwa getto ndio akili yako itanyumbuka kujua your special needs,ule Nini,uvae na Kodi pia
Mimi nmelalia mkeka kwa kipindi kirefu tu[emoji17]
Juu ya mkeka pana nguo ili mbavu zisiume ,sikua na mto zaidi ya begi la nguo,
Hebu nikupe picha zinaweza kukupa moyo.View attachment 1473231View attachment 1473232View attachment 1473233
Wakati nlianzia huku
Kitu muhimu Ni money management
Kila shilingi inayotoka lazima iwe na umuhimu na ulazima wakutoka.View attachment 1473237
JamiiForums-610018292.jpg
 
Tulipanga chumba baada ya kupigwa exile na jamaa yangu usiku nikawa maeneo ya geto kama saa 7 usiku hapo tulishapanga na jamaa saa 8 nane anamtoa demu wake basi saa 7 ile sungu sungu wakanisomba aseeh nilizunguka nao mpaka saa kumi na moja wakanipelekwa kwa mwenyekit wa mtaa nilitoka pale saa moja asubuh . Siku ile ile nikatafuta dalali nikajisemea liwalo na liwe
Dah[emoji16]
 
Hongera sana mkuu...... vijana wa kiume 25+ age kama upo nyumbani fanya mchakato kama dharura vile utoke nyumban ukajitegemee.

Maisha ya getto matam sana vijana,
Ukitaka kujitegemea , kwanza tafuta kazi yoyote halali, piga kwa mwezi unaweza make sh ngapi then fanya yafuatayo.
Tafuta room unayoweza kulipa bila stress, lipia miez mitatu, nunua godoro,vyombo kidogo na chakula, na ubakiwe viela kidogo! Anza maisha kwa mapambano makuu, kama upo arusha nashauri kama kipato chako ni kdg, tafuta rum kwa morombo, mbauda, sanawari... ungaltd na kona ya esso usiende watakuua watu wabaya.

Mie nilianza kwa kitanda complete, vyombo , chakula na kodi 100K@ month nkalipa miez mitatu apo njiro single self moja hivi nzuri,
maisha yakaanza kwa uhuru wote.

Nimetafuna viumbe pale mpaka nkachoka....nikaamua kuacha hzo mambo kabsa, nikaham hapo,
Nimehamia sehemu nyngne hapa hapa arusha......huku nimeapa hakitaingia kitafunwa ndani kwangu tofauti na mchumba wangu, na MUNGU ananiimarsha kweli naendelea vema.
Well said mkuu
 
Noted!
 
@Krikichino
Akiri yako inabadilika kutokana na mazingila unayokuepo
Ukiwa nyumbani Bado upo nyumbani,akili yako haiwezi kunyumbuka Kama unaishi geto
Ukiwa getto ndio akili yako itanyumbuka kujua your special needs,ule Nini,uvae na Kodi pia
Mimi nmelalia mkeka kwa kipindi kirefu tu[emoji17]
Juu ya mkeka pana nguo ili mbavu zisiume ,sikua na mto zaidi ya begi la nguo,
Hebu nikupe picha zinaweza kukupa moyo.View attachment 1473231View attachment 1473232View attachment 1473233
Sure mkuu, mtoto wa kiume ukikaa tu home akili inaalala, hainyumbuki kabisa, m nilipo Anza kukaa ghetto ndo nikakutana na changamoto za Maisha ikabidi niongeze ufanisi wa kazi ninayoifanya
At least now I can work and earn money easily.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom