Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Juzi mama ananipikia simu kawaka mbayaa!!!!!!
Eti mdogo wako anataka kuondoka nyumbani Mimi sitaki...
Akachoka na jibu la first born hapa!
Kua ameshakua miaka 20 sasahivi,muache akapambane
Akifikia 28 atakua sio yeye
 
Nilipoondoka nyumbani mwanza wiki iliyopita , nilifikia gheto la mshkaji , then juzi nilitafuta chumba cia bei chee pale KIGOGO , DAH sema chumba kikubwa umeme maji yapo ,

nilijiwekea kauli mbiu kuwa korona ikiisha , naacha kukaa kwa ndugu hapa dsm , na nimefanikisha asilimia 100%

Hints:

All in all wiki ijayo nataka kuanya kuchakata viazi m vitamu , maana ujana maji moto .
 
Maeneo ya Kigogo siyo salama mkuu kuwa macho
Vibaka rundo
Mafuriko n.k
 
Back
Top Bottom