Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilianza kukaa ghetto nikiwa full na kila kitu, maana shule ilinishinda kutokana na mazingira ya home, hivyo nilianza mishe punde tu nilipomaliza four, nilikuwa na kitanda, sofa meza feni bila kusahau pasi, maisha ya ghetto yamenifunza mengi mno hasahasa uvumilivu na kupambana, nashukuru mungu nikijaliwa uhai mwezi ujao wa kumi mwishoni nahamia kwangu kimara
Broh samahan, km hutojari naomba uanzishe uzi wa hii stori yako kuna kitu cha kujifunzaKufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Wewe jamaa kifipi una NGEKEWA....barikiwa sanaKufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Hata kama sio kweli akisemacho, wewe umepungukiwa nini?....wengine tumejifunza kitu hapaHii ndio JF kila mtu ana gari nzuri,ana demu mzuri ana degree first class.
Ni kwel mkuu..challenge zipo..ila ndio akil inakaa sawa...Nilianza kukaa geto na mshikaji nikiwa first year ila nikajikataa nikakaa mwenyewe, hadi leo naishi mwenyewe...maisha ya kujitegemea yana changamoto sana.
Misosi ya kuunga, kula mpakani na mengine mazuri na mabaya, Inshort ukijitegemea akili inafunguka ukikaa home unabweteka na unakua huna 'freedom' na 'privacy'.
Umejifunza nini?Hata kama sio kweli akisemacho, wewe umepungukiwa nini?....wengine tumejifunza kitu hapa
Home unaeza panga kwenda kucheki mpira na washkaji ila ukaambiwa upeleke chakula cha mifugo uoshe na gari hapo ndo utajua kati ya Mchaga na sigara nani anatoka Moshi.Hapo ulicheza kaka..mimi si nikabugi nikauza kila kitu..ikabdi nirud kwa kipa
Aah umetisha sana......Hapa ndo naona ukikaa geto unakua na akili ya maisha..big up sanaMimi nilipomaliza tu chuo nikapata sehemu ya kujitolea wakawa wananipa hela kidogo nilikuwa nakaa home ila sikuweza kununua kitu nawakati nakula bure hela naenda tu saluni
Siku nilipochoka kujitolea nikaondoka na home nikawa nakaa na rafiki angu tunashare kodi na nilikuwa sina kaz lakini niliweza kununua vitu vingi tu
Unaweza sepa hata ukiua chuo..ila kama unataka life ya kujitegemea mapema..we sepa tuNatamani kukaaaa ghetto na mm nianze ku experience life la kujipikia ila tatzo japa nakaa kwa Ndugu ana bonge la nyumbaaaa afuu vyumba vingine vipo empty aseeeee muda mwingne naachiwaga home nzima
but still university student hapa kwa Baba kegan.
but next year lazima kieleweke.
dah siiti getto saivi napaheshimu sana!!
ilikua baada ya kumaliza chuo.. niliumiza kichwa sana ntafanyaje nikae home.. hapana nitadharaulika sana.. kuna mshkaji mmoja nilisoma nae premary alikua mwanza anapiga mishe zake za boda boda.. nikaongea nae jamaa fresh.. nikatoka home bila kuwaanbia naenda mwanza.. ilibd niwadanganye maana wasingeruhusu niondoke bila hela... nilikaa kwa mshakaji mpk kesho ananiheshim sana.. nilikua nalala kwenye sofa.. usiku jamaa anakuja kalewa kinoma.. anankuta macho inabidi nitoke amgonge dem wake.. [emoji23][emoji23][emoji23] (nimepigwa exile sana).. ikawa kidogo tabu kupata kazi ya taaluma yangu.. nikaamua kushika chaki.. nikafundisha fizikia na hesabu.. nikawa nalipwa vizur.. mshahara wa kwanza tuu.. nikahama na kununua kitanda. mshahara wa pili nikaanza kununua vitu vingne.. nilikua na jeuri sana.. maana nilikua sinunui kitu cha kawaida.. yaan najibana miezi mitatu.. then naenda nunua bonge la kabatii.. nikilileta geto nasema sinunui tena kabati maisha yangu yote.. lbd anunue mwanamke.. saiv nikimkaribisha dem geto lazm aulize umeoa!?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimejifunza mengi sana.. hapa ni nyumbani si geto tena!!