Walec
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,364
- 3,326
- Thread starter
- #981
Hongera sana boss...mambo mdogo mdogo tu... kumbe ulipigwa mkwara?[emoji16][emoji16]Nishukuru wanajamii wote kwa kunihamasisha kujitegemea japo home vyumba vya kutosha ila nilifanya maamuzi japo ilikuwa kwa mbinde na maswala.ya vitisho ila nashukuru Mungu mwezi wa tatu japo geto halijaa kaa kigeto kweli ila soon as possible litakuwa fresh na nitaleta picha ya geto langu mahala lilipofikia
Ccc NAKWEDE