Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

"mtu ninaye mfuga" Hii kauli sidhani kama itakuja kunitoka (kuisahau) aiseee,,, stori yangu ni ndefu sana ila after miaka miwili nita update huu uzi. Aisee graduate tusio na ajira tunapitia changamoto nyingi kuanzia kwenye ngazi ya familia n MUNGU atufanyie wepesi huko tulipo tu.
 
[emoji16]
FB_IMG_1578926024348.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"mtu ninaye mfuga" Hii kauli sidhani kama itakuja kunitoka (kuisahau) aiseee,,, stori yangu ni ndefu sana ila after miaka miwili nita update huu uzi. Aisee graduate tusio na ajira tunapitia changamoto nyingi kuanzia kwenye ngazi ya familia n MUNGU atufanyie wepesi huko tulipo tu.
Mkuu weka hiyo story hapa ita inspire watu mapema January hii wasepe zao..jitahid uandike kama bro huko juu aliepewa ist ya uber[emoji2]

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
"mtu ninaye mfuga" Hii kauli sidhani kama itakuja kunitoka (kuisahau) aiseee,,, stori yangu ni ndefu sana ila after miaka miwili nita update huu uzi. Aisee graduate tusio na ajira tunapitia changamoto nyingi kuanzia kwenye ngazi ya familia n MUNGU atufanyie wepesi huko tulipo tu.
Usijari mkuu mambo yatakuwa poa kabisa
 
Back
Top Bottom