Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Natamani sana kujitegemea lakini nataka nikitoka Kwa wazazi niende kwangu kabisa kero za kupanga sitoweza.

Kati ya kujenga na kununua nyumba kipi nafuu Kwa wazoefu?
maana nataka nisepe home soon🙏
 
Natamani sana kujitegemea lakini nataka nikitoka Kwa wazazi niende kwangu kabisa kero za kupanga sitoweza.

Kati ya kujenga na kununua nyumba kipi nafuu Kwa wazoefu?
maana nataka nisepe home soon[emoji120]
Kujenga
 
Mimi miaka kadhaa iliyopita tulipishana na mzee wangu akanifukuza nikamwambia kama ni kuondoka nitaondoka na vitu vilivyopo chumbani kwangu, akasema wee thubutu wakati nanunua ulijua nilipataje hela, na mm nikakomaa kwamba nimelala kwenye chumba hicho miaka zaidi ya ishirini, nimevitunza I've earned them, hata mke akiachana na mwanaume wanagawana pasu hata kama alikuja na nguo tu mana alivitunza, mzee akadinda, nikatega siku wameenda kanisani nikachukua godoro la 5×6, kabati la nguo subwoofer ndogo pamoja na tv ya chumbani kwake, nilikua na kama laki tano ndo nimetoka kupiga dili nikaipata, nikaondoka nikaenda kupangisha nikiwa sina mishe yoyote nikalipa kodi ya miezi 3 nikanunua sufuria jiko la gesi na vyombovyombo nikaishi, nikawa sipokei simu mpaka mzee akaacha kupiga, mama hakuwahi kuacha kupiga nikawa napokea baada ya muda.
Nikapata kazi kwa wahindi flani maisha yakasonga kodi nalipa na maisha yanaendelea, kwa vile nazungumza na mama akawa ananipa feedback kwamba hapa home tunakumiss mana nilikua ndo nashughulika na usafi wa nje kuweka garden fensi maua maua yakae mkao, kazi zile zinazomhitaji mwanaume, sasa hakuna mtu na mze kazeeka, kwaiyo ananikumbuka sana hata alishanisamehe, nikapata mchumba ndio kwa mara ya kwanza tangu kuondoka nyumbani nikarudi kumtambulisha, nikachinja mbuzi ilikua shangwe sana.
Tangu hapo nikaoa nina watoto na kila jumapili lazima twende kwa wazee kushinda huko, watoto wangu wakifunga shule wanaenda huko wanaishi kabisa, mdogo ndio kahamia huko yani humtenganishi na babu yake. Mzee akanipa kiwanja kati ya vingi alivyokuwa navyo nikajenga nyumba simple tu room 3.

Ila nisingefukuzwa siku ile nisingekuwa hapa mana nilikua naogopa sana maisha ya kupangisha, hasa ukiimagine kila kitu unapata
Wakati mwingine jambo zuri linawezakutokea kwenye jambo baya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee very interesting mkuu...

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Nilianza kutafuta hela ghetto nikahamia,katika mishe nilikuwa natafuta kabla hela ya miezi 6 kwanza,nikipata ndo naanza sasa kutafuta hela ya mipango,miezi inavyozidi vitu vinazidi kuwa vingi,friji ,meza ,sofa ,tv ,kitanda,ikafika hamna mda nafasi ni finyi,nikahamia chumba moja self ,sebule na jiko.

Nimepambana kununua kiwanja now najenga Mungu akipenda mwezi wa 8 nahamia kwangu.

Wapambanaji msikae kwa wazazi ukisikia mishe nenda kabiliana na changamoto njia itatokea tu siku moja.

Asante mkuu kwa ushauri

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Mimi miaka kadhaa iliyopita tulipishana na mzee wangu akanifukuza nikamwambia kama ni kuondoka nitaondoka na vitu vilivyopo chumbani kwangu, akasema wee thubutu wakati nanunua ulijua nilipataje hela, na mm nikakomaa kwamba nimelala kwenye chumba hicho miaka zaidi ya ishirini, nimevitunza I've earned them, hata mke akiachana na mwanaume wanagawana pasu hata kama alikuja na nguo tu mana alivitunza, mzee akadinda, nikatega siku wameenda kanisani nikachukua godoro la 5×6, kabati la nguo subwoofer ndogo pamoja na tv ya chumbani kwake, nilikua na kama laki tano ndo nimetoka kupiga dili nikaipata, nikaondoka nikaenda kupangisha nikiwa sina mishe yoyote nikalipa kodi ya miezi 3 nikanunua sufuria jiko la gesi na vyombovyombo nikaishi, nikawa sipokei simu mpaka mzee akaacha kupiga, mama hakuwahi kuacha kupiga nikawa napokea baada ya muda.
Nikapata kazi kwa wahindi flani maisha yakasonga kodi nalipa na maisha yanaendelea, kwa vile nazungumza na mama akawa ananipa feedback kwamba hapa home tunakumiss mana nilikua ndo nashughulika na usafi wa nje kuweka garden fensi maua maua yakae mkao, kazi zile zinazomhitaji mwanaume, sasa hakuna mtu na mze kazeeka, kwaiyo ananikumbuka sana hata alishanisamehe, nikapata mchumba ndio kwa mara ya kwanza tangu kuondoka nyumbani nikarudi kumtambulisha, nikachinja mbuzi ilikua shangwe sana.
Tangu hapo nikaoa nina watoto na kila jumapili lazima twende kwa wazee kushinda huko, watoto wangu wakifunga shule wanaenda huko wanaishi kabisa, mdogo ndio kahamia huko yani humtenganishi na babu yake. Mzee akanipa kiwanja kati ya vingi alivyokuwa navyo nikajenga nyumba simple tu room 3.

Ila nisingefukuzwa siku ile nisingekuwa hapa mana nilikua naogopa sana maisha ya kupangisha, hasa ukiimagine kila kitu unapata
Wakati mwingine jambo zuri linawezakutokea kwenye jambo baya

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka Sana hapo kwenye haki ya utunzaji vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom