Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

kwa sahivi nilpofikia,
fridge nlchukua laki 7
tv laki 6
godoro laki 2
kitanda laki 3
jiko laki 6 na 40
kochi laki 5
kodi nalipa laki 1
na vingine vingi, sahiv nmeanza kulipia na kiwanja, ata mwaka sijamalza god bless
Good
 
Ndo unaanza mkuu au??? Maana hii ni nyumbaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikua around miaka 25 enzi hizo.....
Mawazo yangu yote yalikua kuzamia South Africa, Nikiwa nimezaliwa na kukulia Dar Uswahilini, ambapo kila siku ya Mungu story ni kijana flani Jana kaondoka South Africa, Kesho utasikia flani nae kaondoka na walikua hawaagi....

Binafsi na Mimi nilikua miongoni mwa Vijana wenye mawazo hayo ya kuzamia SA, UTOFAUTI ni kwamba Mimi sikutaka Kuiba home ili nipate nauli, Nilianza kukusanya pesa mdogo mdogo mpaka nikafikisha 300,000.

Kuulizia Passport ya Kibongo Naambiwa inatoka kwa 50,000 lakini lazima uhonge kama 50,000 nyingine ili uweze kupata mkoba wa Kitabu.
Nikipiga hesabu nitabakiwa na 200,000 Ukiweka nauli Dar to SA na kula pia pesa ya kujikimu njiani nikaona hela haitatosha....

Siku naamka asubihi Naambiwa Mwana jirani yangu kasepa, ila katumia Passport ya Mozambique ambayo enzi hizo Ilikua inatolewa kwa 3,000 T'sh wakati ya Tanzania 50,000!

Siku iliyofata nikatimba Ubalozi wa Mozambique, Getini naulizwa Una shida gani? Najibu nataka kwenda Office za Ubalozi, nikaulizwa "Wewe Kabila gani"
Swali likiwa gumu coz sikujipanga, nikaanza Maelezo..... "Mimi nilikuja Bongo Nikiwa mdogo, Nimesoma hapa, nimekulia hapa, Wazazi wangu wamefia hapa, Sasa nataka kurudi Nyumbani Kule Wazazi wametoka "
Yule mlinzi akanitizamaaa, na kweli Maneno yangu na uso wangu vilikua vina ushirikiano, mixer kulegea na machozi Akaniuliza "wewe Mmakonde nikajibu ndiyo, (Japo Mimi sikua Mmakonde)

Akaniambia Polee.... Ingia kwenye ule Mlango pale..... Nakaingia Ubalozini, nikakuta Raia kibao, Wazungu, wahindi, Wachina na Waswahili Wamejazana pale Ubalozini, nikatafuta kiti nikakaa, Counter kulikua na watoa huduma 3, wakiume 2 wa kike 1, nikaanza kutazama Sura za wale watoa huduma ili niweze kuona nani anaweza kuwa na Sura ya kutoa msaada, nikamwona Brother mmoja kafuga Ndevu kama Rick Rose ila nilivyomtizama Usoni tena kwa ndani ya Moyo wake, nikagundua Brother yule ni Mpole na mwenye kusaidia mtu... Nikapanga foleni nikafika zamu yangu.... "Karibu nikuhudumie " nikajibu Asante...." Nikamwambia "Brother Mimi nataka kurudi Home nimekuja kufatilia Passport"
Akaniuliza "home wapi, nikamjibu "Mwidumbe! "

Akanielekeza nije Kesho yake nipeleke barua ya Utamburisho kwenye office zao za Jumuia Zipo nyuma ya Jengo lile, then Jumuia watanipa Barua ya Utamburisho then ndo ntapeleka Ubalozini tayari kwa Passport...
Ukweli safari Ilikua na mtihani mpaka kuja kupata Passport, mixer kukamatwa kutaka kupelekwa Police n.k

Kifupi siku napata Passport narudi home ili nifanye safari siku 3 TU zilizokua zinafata, na nilikua nafanya safari kimya kimya, sikutaka mtu mwingine ajue zaidi ya Rafiki yangu ambaye tulipanga tuondoke wote...

Nafungua Mlango tu naingia ndani nakuta Ndugu kibao Sebuleni, mpaka Ma Aunty na Washua wakubwa na Wadogo walokuwa wakiishi Mikoa jirani wapo ndani, nikajua tu hiki kikao Mimi Ndo mlengwa!

Nikaanza kusomewa Shtaka kwamba nataka nizamie SA, kwa njia za Panya, sina Documents wala nini, na kwamba ntakufa njiani na Maiti yangu isionekane, Wazee wakarap vibaya mno....
Nikajitetea kuwa Mimi sizamii, naenda kihalali, na Passport nnayo, wakasema niwaonyeshe, nikaitoa, kuiona ni ya Mozambique........ Nikawa kama nimejipalia Makaa, "Unaona, anataka kutuletea matatizo, Mtanzania unaenda kuchukua Passport ya Mozambique si hatari, ukifa huko sisi tutapataje taarifa!?

In short Ilikua Kesi kubwa nikaahirisha safari, nikachana ile passport mbele yao....

Baada ya week nikaomba kikao na Wakubwa....

Nikawaambia nilitaka kwenda SA kutafuta changamoto ya Maisha coz mimi ni wa Kiume, kwa vile haikuwapendeza nika cancel safari.... Sasa nataka nijitegemee..... Wazee wakasema nitawezaje kujitegemea Nikiwa sina Ajira!?
Nikawaambia nikitoka hapa Akili itafunguka namna ntavyoishi, nikakomaa Mwisho Wakaelewa, wakaniruhusu wakanambia siku ukikwama Urudi nyumbani TAFADHARI!

Ile pesa niliyotaka kutumia kama Nauli nikatafuta CHUMBA nikanunua Godoro nikaweka Chini nikaanza Maisha ya kujitegemea, Nikiwa Sijui baadaye ya week moja ntakula, pesa ntapata wapi!?

Toka pale sikuwahi kurudisha Mpira kwa Kipa, nna Familia na maisha yanaenda....
So now mishge gan
 
Hongera sana mkuu kwa mpambano mkali[emoji3]
 
Getto time......kuchek movie kidogo[emoji7]
IMG_20200615_221457_292.jpeg
IMG_20200615_221831_547.jpeg
 
Back
Top Bottom