Walec
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,364
- 3,326
- Thread starter
- #1,681
Mkuu kwanza hongera kwa kuanza na vitu...Mimi bado nipo om illa nmeshanunua kitanda 5x6 na godoro lake ,pia nmenunua mtungi wa gas kitaa tu hapa ,meza na stuli zake mbili na vidude vingne vidogo vidogo kama sufuria mapazia na ndoo na vyombo vya kulia. Na pesa hta ya kupanga chumba miezi sita nnayo na pesa ya kunua chakula cha kuanzia nnayo na inanibakia akiba kama 300k . Lakini changamoto inayonikwamisha nmekosa mishe ya kunisaidia kuzngusha ela kwa sasa ndo kinachonipa waswas hta nkichomoka home naweza nkafeli mapema ikawa shida tena .
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyeje?.
Ukishatoka hapo ndio utajua mishe ya kufanya coz utakua huna budi.. lakin ukiwa hom bado utaona huon mishe ya kufanyia hyo hela yako