Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

2020 umekuwa na Changamoto nyingi sana na muomba Mungu 2021 uwe mwaka wa baraka nataka kwenda ghetto
Itakua hivyo mkuu... kikubwa kupambana tu mkuu
 
Npo nna 21 yrs ila geto langu kama la mwajiriwa kila kitu ndani kipo afu ukicheki om sio safi kivile..
SHERIA ZA GETO LANGU..
1:WANA NJOONI TUCHEKI BOLI KIJANA WENU KIFURUSHI NALIPIA ILA KULA KWAKO...
2:GETO LANGU KIPINDI CHA DISCUSSION GENDER ZOTE ILA UKIJIPENDEKEZA UNAKUJA KUCHEKI TAMTHILIA PEKE YAKO NIKIKUTAFUNA BAHATI MBAYA...
3: SIKU SHEMEJI YENU AKIJA HATA KAMA KUNA MANCHESTER NA CHELSEA JUA TUKO OFF..
4:UKIINGIA NDANI HICHI UMENUNUA SHILINGI NGAPI KILE WAPI SITAKI...
5:GETO LANGU LINATAKIWA LIWAKE ZAIDI YANGU.
6:BIBIE KUPENDEZA KWA GETO LANGU HAIMAANISHI UBEBE MZIGO WANGU TAKE CARE KUNA V.A.R...
7:GETO LANGU MCHEZAJI NI MIMI TU MAANA NDO NNAEFUA WANA MTANISAMEHE
Nauunga mkono hoja hasa namba 7, huwezi kuja kutafunia manzi yako ghetto kwangu, a good thing hata Mimi sijawahi tafunia ghetto kwa wana.
 
Back
Top Bottom