Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,012
- 1,995
Karibu leo Weekend nipo alone tuu sina campani [emoji39]Nimemiss kuona magheto ya watu jamani[emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu leo Weekend nipo alone tuu sina campani [emoji39]Nimemiss kuona magheto ya watu jamani[emoji7]
Upo alone, aliyekupiga hiyo picha nani? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Karibu leo Weekend nipo alone tuu sina campani [emoji39]View attachment 1713133
Alipiga picha akaondoka nikabaki alone. [emoji3][emoji3]Upo alone, aliyekupiga hiyo picha nani? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28] kwa ilo pozi ulilokaa mkuu, bado unataka aje mwingine leo baada ya huyo kuondoka?Alipiga picha akaondoka nikabaki alone. [emoji3][emoji3]
Mimi tu wa kike ungo sina [emoji38] nawaza nikinunua nauning'iza wapi?! Sioni pakuweka
alikuja mara moja tu,hakurud tena wala hakutaka tena mazoea..Hauna hata girlfriend[emoji3526][emoji3526] angekua anakuja kukusafishia
Pm iwe wazii alafu Utuletee story Kimasihara tuu unaweza kulaa watatu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu leo Weekend nipo alone tuu sina campani [emoji39]View attachment 1713133
lini nije kwako beautiful[emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie tangu nime join chuo, sijawahi ishi hostel.
Nikikuleta kwangu wallah hutoamini, master yenye sebule imesheheni kila unachokijua, hapa nataka kununua jiko la umeme.
Daah! Unalala mapema mno saa 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upo alone, aliyekupiga hiyo picha nani? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pm iwe wazii alafu Utuletee story Kimasihara tuu unaweza kulaa watatu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ameeen
Si mchezo, lakini hii picha ya kitambo.maisha yameanza kwa staili hii..View attachment 1718843
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo bado vibuyu, hirizi na mikia ya mbweha uanze kuagua.