Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wa kishua nini?Sisi ambao hatujawahi kukaa gheto sijui tuna comment wapi?
Kwa upande wangu sijawahi kuishi gheto kabisa, nilipomaliza chuo nilirudi home nikakaa kwa miaka mi tatu then nikaoa ndio nikaondoka kwa wazazi, nikaanza kuishi na familia yangu binafsi.
Kawaida tu! Sema sikuwa na sababu ya msingi ya kwenda kuishi gheto.Bila shaka kwenu mnazo
Kawaida tu! Sema sikuwa na sababu ya msingi ya kwenda kuishi gheto.
....mara nyingi Mademu...ndo wanatufanyaga tuanze kuishi Geto...kwa upande mwingine inatusaidia katika Maisha bila sisi kujuaKawaida tu! Sema sikuwa na sababu ya msingi ya kwenda kuishi gheto.
ShukraniEbwnaa sio poa...big up.mwamba
sio kila sheria lazima ifatweKuna mdau mmoja niliwahi kumsoma mahali akisema kwamba ni hatari sana kuweka jiko la gesi kwenye chumba unacho lala. Inasemekana unahatarisha maisha yako sana kwa kufanya hivyo.
Sasa je kwa walio panga single room inamaana usiku wanapo lala majiko yao wayatoe nje? Au kuna option gani ingine?
Wewe unge tengeneza uzi wa watu wanao ishi kwenye mijengo mikali.....acha kubaka uzi
Hongera tunajua unataka kuonyesha hastling zilipokufikisha bt kama ulikaa geto mwanzo hilo ndo tunalitaka ili tuone ulitoka wapi
HahahahaWewe unge tengeneza uzi wa watu wanao ishi kwenye mijengo mikali.....acha kubaka uzi
NimeshakujuaMapambanoni yalikuwa mazito acheni tuuuuuuuu nani ya miezi 3 baadhi ya mambo muhimu tayariView attachment 1712406View attachment 1712407
Alooh sio mchezoMapambanoni yalikuwa mazito acheni tuuuuuuuu nani ya miezi 3 baadhi ya mambo muhimu tayariView attachment 1712406View attachment 1712407
Mzee una picha kaliiiNoma sema chumba kidogoooooooView attachment 1712408
Hongera sana mkuu..
ktanda cha 5*6 kinauzwa bei gani huko iringaIringa kinauzwa 20000
Mzee kwanza pole kwa hizo stress,,,kitu unachotakiwa kwanza tuliza kichwa chako..kisha amin unaweza fanya jambo bado..wakuu mimi nimemaliza chuo mwaka juzi (2019), kwa sasa nina miaka 29 nipo home bado, nimeangaika kutafuta kazi sijapata, nimesoma huu uzi nimeisi kama nimesha potea kwenye maisha, naombeni mbinu na mimi nichomoke hapa home nikapange wakuu??