cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kumbe umenizid class 1 tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2011 mimi namaliza la 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe umenizid class 1 tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2011 mimi namaliza la 7
Yaan nyie wote ni wadogo zangu tu, hiyo 2011, Niko form three. Nyie mko shule za msingi.Kumbe umenizid class 1 tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4]Yaan nyie wote ni wadogo zangu tu, hiyo 2011, Niko form three. Nyie mko shule za msingi.
Yaani we nae dogo janja tu. Hiyo 2011 mie niko form four2011 mimi namaliza la 7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo tulikua tunaelekea kumaliza yaan.Yaan nyie wote ni wadogo zangu tu, hiyo 2011, Niko form three. Nyie mko shule za msingi.
Mkuu na wewe ni mdogo hivii? [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe umenizid class 1 tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee hyo tv showcase yakibabe sana...pemben soundbar moja nzito [emoji91][emoji91]Acha na mm nioneshe ghetto langu.View attachment 2097448
Mzee si unajua sony huwa hawakosei kwenye mzikiMzee hyo tv showcase yakibabe sana...pemben soundbar moja nzito [emoji91][emoji91]
SanaaaHii thread kwa kijana yeyote mwenye akili ni msaada mkubwa sana.
You good mzee, uko vzr, ghetto liko poa Sana. I guess Mambo yako ya kiuchumi so haba Sana.Acha na mm nioneshe ghetto langu.View attachment 2097448
Kawaida tu chief, ni kujipanga tuYou good mzee, uko vzr, ghetto liko poa Sana. I guess Mambo yako ya kiuchumi so haba Sana.
Yani unaeza shangaa umechezea kelebu moja nzito [emoji1787]View attachment 2103125
Sema ukiwa home kwa mshua huwezi weka hiyo miguu hivi
Yaani ukanyage mapaziaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
#hamahapokwamshua
Yani unaeza shangaa umechezea kelebu moja nzito [emoji1787]
Sisi ambao kipa alitoka kitambo huku timu pinzani strikers wamechachamaa, midfielders wamechafukwa,refa ameshapokea chake na mashabiki wamepagawa tuna comment wapi?Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi anasubir kazi, halafu kazi zenyewe haijulikani utapata lini.
Hii inapelekea wana wengi kua na fear ya kuchomoka home. Kiukwel hali ya kukaa hom inakata sana..Mzee unakuta anachomoka anakuachia mikazi flani hivi howcome.
Ukija upande wa MMU ndio mambo yanakua sio mambo, mtoto anataka aje kukusalmia unaona soo kwasababu upo nyumbani, inakata sana hii
Tukija kwenye maisha ya kujituma tu. Sometime unakosa hamasa ya kupambana kwasababu ugali wa bure, unalala bure, kila kitu bure. Hii inakua ngumu kuwaza kwa mapana ili kuanza kukamilisha dream zako..
Pia inakata sana. Pale wanao unakuta wapo na mageto yao. Lakini wewe kwako ni tofauti.
Sasa naomba kila mmoja aseme alichomokaje home na kuanza kukomaa na maisha..Achilia changamoto zake kikubwa hapa ni kusepa kwa maza.
Mimi binafsi gheto nilianza kukaa soon nilivyoingia chuo, nakumbuka nilipata room ya elfu 50 nikaanza nayo kibishi, nikanunua bed ya 150, 5 kwa 6, nikatafuta feni tu ya elf 35..si unajua joto la dar..nikaingia k.koo nikavuta subwoofer ya elf 75 tu, gheto bila mziki sio geto ni choo, kujicheki mfukoni boom likawa lishakata, basi nikaendelea kuishi geto hadi namaliza chuo gheto likawa limesheheni tu.
sasa baada ya kumalza chuo. Ndio nikarudi home ujinga niliofanya ni kurudi home na baadhi ya vitu niliviuza. Kasheshe ndio ipo saa hizi. wakuu home akili inalala, vibe yote hakuna, hapa ndio najichanga nichomoke tena nirud geto nianze kupambana. hope ndani ya huu mwaka nitakua nishasepa hom kwa mara nyingine.
Sasa share kitu basi nawewe.
Nini lilikusukuma usepe home?
Kitu gani kilikupa mzuka wa kuanza kukaa geto?
Vipi ulianza kukaa geto ukiwa na kazi au kibishi tu?
Maisha yalikuaje since day one?
Je ulienjoy uamuzi wako wa kusepa home?
ulianza kununa vitu gani vya msingi na kuanza kuishi geto
Una lipi la kuwaambia wana walioko home hadi leo wakiogopa kukaa geto kisa hawana ajira bado?
Karibuni wakuu.
Acha na mm nioneshe ghetto langu.View attachment 2097448
daah unyama sana I wish na mimi nimiliki soundbar kama hii