Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Anaswaga kama za mdadaHuyo mbona si dada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaswaga kama za mdadaHuyo mbona si dada?
Jiongeze😄Anaswaga kama za mdada
Mara umeanza Chuo, Mara evening class, Mara BoomDah mi geto nlianza kukaa baada ya kukosa chumba chuo mwaka wa kwanza,basi nikawa sina jinsi zaidi ya kupanga,basi nkaanza na kitanda na feni tu then nkampa mwenye nyumba hela ya miezi sita,but siku nahamia tu nkawaza je ntakaa kujitegemea maisha yangu yote?au ntapanga then mwisho wa siku ntarudi home?kurudi home kiukweli nilikataa hivyo nikaanza hatua ya kwanza ya kujiandikisha masomo ya jioni chuoni(evening class)basi week ya kwanza nikaanza kitabu but huku mchana wakat nipo geto nkawa natoka kutafuta channel za kazi za kufanya,basi nkapata boda boda kwa siku 15 kwa mkaaba wa mwaka,nkawa napiga kila siku then jioni naingia chuo usiku mpka saa 7 ndo nalala huku nikiwa nahakikisha lazima nilale na 30 mpka 20,basi nilifanya hivyo kwa mwaka mzima huku boom likiwa linaingia na huku nikiwa nnaingiza hela hyo mpka zaidi per day,mwaka wa pili nakumbuka ndo nipo na mke wangu maana tulitoka ote high school na tukawa chuo kimoja hivyo mwaka wa 2,hela yake ya hostel akaitoa na mm nikatoa mara mbili ya ile akawa anazungushia kwenye biashara huku akiwa amehamia ninapokaa wakati huo nmehama zangu geto sasa nnachumba na baraza yenye kila kitu ndani.Basi biashara yetu ambayo tulikuwa most tunaifanya online pamoja na maofisini huku yeye akibase kwa vitu vya wanawake huku na mimi nikibase kwa wanaume basi nkawa nawasambaza watu na boda boda mchana wakati huo piki piki ikiwa yangu tayari.basi miezi mi 3 baadae dem akanasa mimba,so alivyoenda kwao likizo kumbka kwao nlikuwa sifahamiki,dah maza wake akashtuka kuwa dogo anamimba aliwaka kichizi na walimtisha mno ,huku wakitaka niende kuchukua mzigo wangu(means)mke wangu
Nawee nan akufuatilie sasa? Hebu nipishe mie msieeeew.unanifwatilia sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ataliwa kimasihara huyu, ujue
Nimekuelewa... mkuuJiongeze[emoji1]
Bas nimeacha pacha jomonee [emoji7][emoji7]Pacha hizi vita unaanzisha mimi unanipa wakati mgumu sana kukugombolezea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu thibitisha hilo kwan, huenda unanijua sana.Huyo mbona si dada?
Lini una muda uje kwangu? Tena unifundishe na kupika kabisaNawee nan akufuatilie sasa? Hebu nipishe mie msieeeew.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lini una muda uje kwangu? Tena unifundishe na kupika kabisa
Umeniispaya sana....kudos broKuna Muda inabidi ukubali kushuka chini ili uanze upya......
Miezi 2 kabla sijamaliza chuo miaka kadhaa iliyopita, nilikaa nikawaza hatma yangu. Unajua kuna ile ukiwa chuo familia inajibana na kukupa kila unachohitaji kwa kadri ya uwezo wao ili tu uishi vizuri. Ndivyo ilivyokuwa kwangu mimi. Familia ilinisapoti kwenye swala la kodi na nilikuwa naishi vizuri sana maeneo ya Mwenge.
Sasa miezi 2 kabla sijamaliza chuo nikakaa nikawaza, hivi hapa nikimaliza chuo nirudi tena home?....Hapana haitawezekana. Niendelee kukaa mwenge?...Hapana sitaweza kumudu gharama za maisha ikizingatiwa kuwa sikutaka kusumbua familia kuhusu maswala ya kodi n.k....Wamenisapoti vya kutosha toka primary hadi chuo. Uamuzi uliokuwepo ni kupambana mwenyewe...
Baada ya kumaliza chuo nikakaa mwenge kama mwezi mmoja kumalizia kodi yangu ambayo gharama ya pale ilikuwa 150k kwa mwezi...Nikahama nikahamia river side ndani ndani huko chumba cha 20k kwa mwezi. Ilikuwa ni new experience kwangu ikizingatiwa nimetoka kuishi ushuani kwa miaka 2 mfululizo pale mwenge...getto kali, choo ndani na mazingira mazuri sasa leo naenda kukaa sehemu ambayo choo tunapanga foleni na uswahili wa kila aina...Kwakuwa nilishaweka nadhir kuwa sirudi kwa kipa hata iweje, ikabidi nikomae....
Pale riverside nililipia miezi 6 ambayo ni kama 120k hela niliyoipata kwenye kusave na kujibana kipindi niko chuo. Ila nilikaa pale miezi 3 tu. Kwasababu sikuwa na kazi yoyote ya kuniingizia kipato...nimepambana sana kusaka mishe za pale mtaani lakini bado hali ikawa tete...Kichwa kikawa kinawaka moto sasa hii kodi ikiisha naishije tena. Frankly speaking, nilikuwa kila nikiwaza miezi 6 ijayo sioni kitu....nilikuwa sioni future ila kitu pekee ambacho hakikuisha akilini mwangu ni Hope. Nilijua tu hii ni transition period na siku moja nitasimama.
Baada ya mishe zangu kukwama yaani kila siku natumia hela siingizi, nikaona pale mtaani hapanifai. Nikafunga safari hadi magomeni kwa uncle wangu mmoja. Hapo nauli ya kurudi home kwa bimkubwa ni 400 tu ila sikutaka hata kupasikia. Nirudi kufanya nini sasa? Kula bure huku nikitia huruma?....Hapana.
Nimefika kwa uncle nikamwambia mzee mimi kiukweli ngoma ngumu. Hapa nilipo nimetoka Riverside kule nimeacha vyombo vyangu na kodi ya miezi 3. Sikuwa nimehama riverside ila tu nilifunga mlango na kusepa magomeni. Kwahiyo vyombo vyangu vilikuwa bado kule na kodi yangu ya miezi 3.
Uongo dhambi, pale kwa uncle nilifata uhakika wa kula tu [emoji16][emoji16] manake kule riverside nilikuwa kila siku natumia hela sasa nikaona bora niende kwa uncle ambako nitakuwa na uhakika wa kula afu zile chenji ninazopata kwenye husstle zangu nazitunza.
Yes, dunia ikafunguka, nikajichanganya mtaani...piga sana kazi na fundi umeme site....somba sana maji magomeni kwenye mkokoteni kuwauzia wadau. Lengo lilikuwa moja ni kusepa kwa uncle.
Baada ya miezi 3 kuisha (means kodi yangu kule ya miezi 6 imekata), nikaenda riverside kuchukua tuvyombo twangu...nikaja nikatupaki kwa uncle...hapo nimapambana sana, weka akiba sana huku na huku, baada ya miezi 5 nikamuaga uncle...nikamwambia naenda kupanga....hapo sijasimama vizuri ila nikasema nitaweza. Na nilipanga pale pale magomeni jirani na uncle...hii ndiyo siku nilihama kwenye toroli a.k.a mkokoteni maana vyombo ni kitanda na godoro tu [emoji1][emoji1]
Nakumbuka nikalipia chumba cha 50k nikaanza kuishi...husstle zikaendelea, nikanunua tv, radio, sofa na vitu vingine muhimu...
Kufupisha story....Leo na jana ni tofauti. Mungu ni mwema maisha yangu ni ndoto za vijana wengine japo sijafika....na nimeweza kumiliki getto kali tena kama lile la mwenge.
NB: kuna muda inabidi tukubali kushuka chini kutokana na uhalisi wa maisha. Ila baada ya muda tukikaza tutarudi juu....
Heshima na upendo mwingi sana kwa uncle wangu wa magomeni....saluti nyingi sana kwa mafundi umeme na wateja wangu wote wa maji magomeni....Those people treated me fairly and am always grateful.
Baadae nilikuja kubahatika kupata ajira na maisha yakaendelea....Ila never lose hope....Confort zone ni adui wetu...I wish the best to everyone working hard to live their dream.....Alhamdullilah
FOHADI.......Focus, Hardwork and Discpline.
Kuna Muda inabidi ukubali kushuka chini ili uanze upya......

Nyie jamani 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]Ni maajabu haya kuona mtu akila mboga na mboga nyingine (Yogat)
Sasa kwanini hukufunga mlango wako!?Mnaokaaa gheto au hata hizi nyumba zenye vyumba tofauti mnazoshare jiko, seble etc hebu elezeeni changamoto mnazokutana nazo,
Nilienda home kidogo nikaacha vitu vyote gheto nyumba tunashare wawili kupunguza costs, wakati nimeondoka jamaa angu kuna ndg yake akaja akawa analala chumbani kwangu maana sikuwepo... alivyokuwa anaondoka kuna vitu si akavipenda akaamue afanye shopping... kabeba viatu, suruali zangu pendwa, narudi hamna baadhi ya vitu
Sorry mkuu...sitaweza kulitupia picha la getto out of Privacy...I wish to continue being anonymous....kuna watu nawajua, wananijua, tunajuana na tunafahamiana sana wapo humu....so sitaki ku reveal Identity yangu....Mkuu picha la ghetto hatupati?