cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaah yaan.Kwamba wewe na huyo jamaa ni Otimbi na Timbilio....
Kweli marudio yatatizamwa[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaah yaan.Kwamba wewe na huyo jamaa ni Otimbi na Timbilio....
Kweli marudio yatatizamwa[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utawaweza bas watu wa humu? Ni kuwatazama tyuuh.Title inasema 'ulianzaje kukaa gheto' sasa mtu anataka eti waccoment wanaume tu wakat alienzisha hajazungumzia hicho kitu nikabaki nashangaa hahaa kwamba wadada hatutakiwi humu
Hataki aanzishe uzi wake aweke na masharti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utawaweza bas watu wa humu? Ni kuwatazama tyuuh.
Kabisaaa yaan.Hataki aanzishe uzi wake aweke na masharti
Title inasema 'ulianzaje kukaa gheto' sasa mtu anataka eti wacoment wanaume tu wakat alienzisha hajazungumzia hicho kitu nikabaki nashangaa hahaa kwamba wadada hatutakiwi humu
Pole kwakemisogynistic( mchukia wanawake) anahitaji mda then atakuwa open mind
Ana ishije huko au alizaliwa bila damu kumwagika ??.maana. Imeandikwa mwanaume anaezaliwa. Na mwanamke hawezi ISHI bila mwanamke (mke , demu , malaya , mdangaji , buzi , rafiki wa like , msela wa like )misogynistic( mchukia wanawake) anahitaji mda then atakuwa open mind
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo ghetto nikuoneshe jinsia yangu.Shida ipo hapa[emoji117][emoji117]cocastic aseme yeye ni jinsia gani
Geto tena [emoji15][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo ghetto nikuoneshe jinsia yangu.
Kumbe shida n jinsia tyuuh? Sasa si ungesema uoneshwe.
Haya njoo uone hicho hitaji lako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo aje ashuhudie kwa macho yake, maana mie nikimtajia hataamini.Geto tena [emoji15][emoji2]
Kweli mchizi aje geto sio eeeh!!?
Hongera sana mkuuKuna Muda inabidi ukubali kushuka chini ili uanze upya......
Miezi 2 kabla sijamaliza chuo miaka kadhaa iliyopita, nilikaa nikawaza hatma yangu. Unajua kuna ile ukiwa chuo familia inajibana na kukupa kila unachohitaji kwa kadri ya uwezo wao ili tu uishi vizuri. Ndivyo ilivyokuwa kwangu mimi. Familia ilinisapoti kwenye swala la kodi na nilikuwa naishi vizuri sana maeneo ya Mwenge.
Sasa miezi 2 kabla sijamaliza chuo nikakaa nikawaza, hivi hapa nikimaliza chuo nirudi tena home?....Hapana haitawezekana. Niendelee kukaa mwenge?...Hapana sitaweza kumudu gharama za maisha ikizingatiwa kuwa sikutaka kusumbua familia kuhusu maswala ya kodi n.k....Wamenisapoti vya kutosha toka primary hadi chuo. Uamuzi uliokuwepo ni kupambana mwenyewe...
Baada ya kumaliza chuo nikakaa mwenge kama mwezi mmoja kumalizia kodi yangu ambayo gharama ya pale ilikuwa 150k kwa mwezi...Nikahama nikahamia river side ndani ndani huko chumba cha 20k kwa mwezi. Ilikuwa ni new experience kwangu ikizingatiwa nimetoka kuishi ushuani kwa miaka 2 mfululizo pale mwenge...getto kali, choo ndani na mazingira mazuri sasa leo naenda kukaa sehemu ambayo choo tunapanga foleni na uswahili wa kila aina...Kwakuwa nilishaweka nadhir kuwa sirudi kwa kipa hata iweje, ikabidi nikomae....
Pale riverside nililipia miezi 6 ambayo ni kama 120k hela niliyoipata kwenye kusave na kujibana kipindi niko chuo. Ila nilikaa pale miezi 3 tu. Kwasababu sikuwa na kazi yoyote ya kuniingizia kipato...nimepambana sana kusaka mishe za pale mtaani lakini bado hali ikawa tete...Kichwa kikawa kinawaka moto sasa hii kodi ikiisha naishije tena. Frankly speaking, nilikuwa kila nikiwaza miezi 6 ijayo sioni kitu....nilikuwa sioni future ila kitu pekee ambacho hakikuisha akilini mwangu ni Hope. Nilijua tu hii ni transition period na siku moja nitasimama.
Baada ya mishe zangu kukwama yaani kila siku natumia hela siingizi, nikaona pale mtaani hapanifai. Nikafunga safari hadi magomeni kwa uncle wangu mmoja. Hapo nauli ya kurudi home kwa bimkubwa ni 400 tu ila sikutaka hata kupasikia. Nirudi kufanya nini sasa? Kula bure huku nikitia huruma?....Hapana.
Nimefika kwa uncle nikamwambia mzee mimi kiukweli ngoma ngumu. Hapa nilipo nimetoka Riverside kule nimeacha vyombo vyangu na kodi ya miezi 3. Sikuwa nimehama riverside ila tu nilifunga mlango na kusepa magomeni. Kwahiyo vyombo vyangu vilikuwa bado kule na kodi yangu ya miezi 3.
Uongo dhambi, pale kwa uncle nilifata uhakika wa kula tu 😁😁 manake kule riverside nilikuwa kila siku natumia hela sasa nikaona bora niende kwa uncle ambako nitakuwa na uhakika wa kula afu zile chenji ninazopata kwenye husstle zangu nazitunza.
Yes, dunia ikafunguka, nikajichanganya mtaani...piga sana kazi na fundi umeme site....somba sana maji magomeni kwenye mkokoteni kuwauzia wadau. Lengo lilikuwa moja ni kusepa kwa uncle.
Baada ya miezi 3 kuisha (means kodi yangu kule ya miezi 6 imekata), nikaenda riverside kuchukua tuvyombo twangu...nikaja nikatupaki kwa uncle...hapo nimapambana sana, weka akiba sana huku na huku, baada ya miezi 5 nikamuaga uncle...nikamwambia naenda kupanga....hapo sijasimama vizuri ila nikasema nitaweza. Na nilipanga pale pale magomeni jirani na uncle...hii ndiyo siku nilihama kwenye toroli a.k.a mkokoteni maana vyombo ni kitanda na godoro tu 😄😄
Nakumbuka nikalipia chumba cha 50k nikaanza kuishi...husstle zikaendelea, nikanunua tv, radio, sofa na vitu vingine muhimu...
Kufupisha story....Leo na jana ni tofauti. Mungu ni mwema maisha yangu ni ndoto za vijana wengine japo sijafika....na nimeweza kumiliki getto kali tena kama lile la mwenge.
NB: kuna muda inabidi tukubali kushuka chini kutokana na uhalisi wa maisha. Ila baada ya muda tukikaza tutarudi juu....
Heshima na upendo mwingi sana kwa uncle wangu wa magomeni....saluti nyingi sana kwa mafundi umeme na wateja wangu wote wa maji magomeni....Those people treated me fairly and am always grateful.
Baadae nilikuja kubahatika kupata ajira na maisha yakaendelea....Ila never lose hope....Confort zone ni adui wetu...I wish the best to everyone working hard to live their dream.....Alhamdullilah
FOHADI.......Focus, Hardwork and Discpline.
kumbe umeona na weweHuu uzi ulikuwa wa masela nondo ....nashangaa watu wa jinsia mbili sijui wameingiaje humu!
Watu tunakujua, kupitia nyuzi zako...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo ghetto nikuoneshe jinsia yangu.
Kumbe shida n jinsia tyuuh? Sasa si ungesema uoneshwe.
Haya njoo uone hicho hitaji lako.
Lakini mwamba hili swala tulishalimaliza 😄😄😄😄.....Tuendeleeni na kushusha nyuzi za ushuhuda.Watu tunakujua, kupitia nyuzi zako...
Ukiwa chuo. Kipi bora kukaa gheto au hostel za chuoIla. All in all maishaa ya GETO mazuri ,
Motivation speaker tu huyu hana jipyaKufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class