Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sofa umevuta sh ngap mze imetuliaKale ka getto chetu kanazidi kujaaView attachment 2267695
120 mkuuHiyo sofa umevuta sh ngap mze imetulia
Mgeni anafkia hapo kwanzaKale ka getto chetu kanazidi kujaaView attachment 2267695
Yeah nilienda[emoji23]Umeshafanikiwa
Nitakuhamisha kinguvu nikutekeYeah nilienda[emoji23]
Nimeambiwa no kuhama home[emoji23]
Hauna lolote,,,hauna nia.Ndio hiyo nataka mzee na kasebule kidogo
Yaani wewe haunaga akili kumbe!Eh bwana nipo kwa dingi hapa kama vile yesu alivyo kuwepo kwa baba yake.
Sii ndio natafuta kagheto na mie nitulie maana kkwa ja nimeshindwa kujenga naanza kifikiria nikiuze tuu
Kivipi tena mrembo wakati kama hivi nataka nipate ghetoYaani wewe haunaga akili kumbe!
Nia ninayo na hela ya miezi sita kodi ya gheto ninayo wee nitafutie tuuHauna lolote,,,hauna nia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipamiss humu ndani, mbna sioni picha za mapazia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HongeraKale ka getto chetu kanazidi kujaaView attachment 2267695
Hizo pesa unaenda lipa kodi huko si uwekeze kwenye ujenzi!!!Kivipi tena mrembo wakati kama hivi nataka nipate gheto
Sasa ujenzi utaanza na million mbili kweli au unatania wewwe mrembo. Hiyo napamga ghetto natulia napiga mishe kuanza saka hela za ujenziHizo pesa unaenda lipa kodi huko si uwekeze kwenye ujenzi!!!
Au pepo lako chafu linakushawishi
Weeeeh usiniambie[emoji23]Nitakuhamisha kinguvu nikuteke
Kale ka getto chetu kanazidi kujaaView attachment 2267695
Million mbili ushapata bati za vyumba 2Sasa ujenzi utaanza na million mbili kweli au unatania wewwe mrembo. Hiyo napamga ghetto natulia napiga mishe kuanza saka hela za ujenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilipoaanza kukaa gheto ndo nilijua kwa nini nilikuwaga nakula kichapo nikiokota hela ndani na kusema ni yangu
Gheto ni industry ya great thinkers wengi
It teaches than a school teacher
[emoji848]
Wapi huko nije nijengeMillion mbili ushapata bati za vyumba 2