Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Dah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
Kapicha pls

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah nimekumbukaa mbali sana nimemaliza chuo 2015 nimesota mno 2016 nikajilipua nikatoka home kigambon mpaka tabata cna kaz uzur nilikuwa nakila kitu kuanzia godoro kitanda fen redio tv chumba 70k nikalipa six month pesa niliomba nikabakia na laki hiv piga mishe kitaa na laki ikakata maisha yakawa magum sana nikawa nafanya kaz yyte iliyopo mbele yangu nimebeba tofali nimeuza sabun lkn wap baada ya miez mitano nikarudisha mpira kwa kipa nikaenda home nikakaa miez mitano nikasepa tena nikaona nihame mkoa mpaka sasa niko arusha mi siiti gheto naita nyumba sahiv nipo nishazoea.
[emoji123][emoji123] story lako fup ila mmmmmh inaonyesha pana jitihada ulifanya hongera ndugu
 
20220816_183034.jpg
kuna mtu akionA aPa atanikosoa 😁😄 kinomA
 
Hapana hizo ni pioneer
Mkuu naomba nisaidoe jambo kweny hii theater yngu ya sony ile ndogo huwa natumia flash kuskilizia nymbo sas flash iko n nyimbo kama elfu 2 hv lakn zimesaviwa kwenye folder 2 tofaut sas jins ya kuingia kwenye folder ya piLi yenye nyimbo zngne naboyeza wapi maaNa sina tv nafanya kukisia na sijawah kutumi hii kitu kabla msaada bro kama utakua unafahamu
20220816_184228.jpg
 
Mkuu naomba nisaidoe jambo kweny hii theater yngu ya sony ile ndogo huwa natumia flash kuskilizia nymbo sas flash iko n nyimbo kama elfu 2 hv lakn zimesaviwa kwenye folder 2 tofaut sas jins ya kuingia kwenye folder ya piLi yenye nyimbo zngne naboyeza wapi maaNa sina tv nafanya kukisia na sijawah kutumi hii kitu kabla msaada bro kama utakua unafahamuView attachment 2325514
Kaka hapa tumuite Extrovert atusaidie kidogo
 
Mkuu naomba nisaidoe jambo kweny hii theater yngu ya sony ile ndogo huwa natumia flash kuskilizia nymbo sas flash iko n nyimbo kama elfu 2 hv lakn zimesaviwa kwenye folder 2 tofaut sas jins ya kuingia kwenye folder ya piLi yenye nyimbo zngne naboyeza wapi maaNa sina tv nafanya kukisia na sijawah kutumi hii kitu kabla msaada bro kama utakua unafahamuView attachment 2325514

[mention]Extrovert [/mention]
 
Ukiichomeka tu hiyo flash kabla ya kubonyeza OK, tumia batani ya kushuka chini kisha OK utakuwa umechagua foda ya 2.
Ukitaka kurudi foda ya kwanza Bonyeza batani ya USB
 
Wadau kuna rafiki yangu anauza Smart TV inch 50 nataka kuinunua lakini ina tatizo la mstari mdogo kwenye kioo, Je hauta sumbua mbeleni labda kuongezeka na kuleta madhara zao?
 
Back
Top Bottom