Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wazee kwa hali hii sheria ikiwa kali watu tutarudisha mpira sana.
 
Uzi ulionitoa kwnye kiza Hadi Sasa nauona mwanga japo haikuwa rahisi kuwashawishi wazazi kuondoka nyumbani na kupanga chumba ilihali umeacha chumba ama vyumba nyumbani , ikibidi nikimbie kinyemera baada ya mambo kuwa magumu na dharau kuwa nyingi kwa wadogo zangu pindi wakirudi likizo kutwa unagombana nao na ukijitzama n mtu mzima hapo ndipo nilipoamua kusepa nakumbuka mfkon nilikuwa na tsh 40,000 nikampga saundi Dem wangu ambaye Sasa n wife aknipa 80,000 nikakodi chumba elf tisini na mkeka wa 7000 pazia nilichomoa nyumban na life likaanzia hapo.
 
Kipindi ndo officially naenda kuanza maisha yangu mwenyewe mimi nilibahatika wazee walini-bless kitanda 5×6 na godoro inch 6 mwaume siku hiyo nasombelea vitu kama masihara mzee alikuwa....

Ananihamasisha kweli nihame ila kutokana na mimi nilishachoka kukaa nyumbani sikutaka kuonesha kuwa nataka kuhama home ila kimoyo moyo najisemea... unafikiri napenda kukaa kwako...
Ndo nandoka ivo.Siku hiyo nikabebelea kitanda godoro na begi langu tu la nguo Asikwambie mtu upweke ulitawala kinyama siku iyo humo magetoni maana nilihamia usiku huohuo sikutaka kulaza damu nikapiga moyo konde .....

Na mimi siku moja ntajaza vitu bas nilikuwa kila nikiludi nikikiangalia chumba changu napata mzuka na hamasa ya kutafuta pesa nijaze vitu ndani geto lipendeze.
Baada ya mwezi mshahara wangu wa kwanza nikanunua dundo ndani yani subwoofer vikombe,sahani,vijiko, na vikolokolo vingine vya kupikia....

Kati kati ya mwezi huo huo nikanunua mapazia nikaongeza mashuka sijui kapeti ado ado geto likaanza kuwaka.kuna pesa nikaja kuibahatisha nikanunua kasofa ka-watu wawili ka leza mwezi tena nikanunua zuria.

Pesa nyingine nikavuta ka-fridge flan ivi kadogo dogo ka kishkaji hapo maisha yakaenda hadi saivi ni legendary nilihama home kwa kupenda mwenyewe na jitihada za mzee kunihamasisha lakini bi-mkubwa hakupenda nihame kabisa..

Hadi nahama mpaka nafikisha mwaka katika kujitegemea hakuacha kunipigia simu na kunisistiza nisiache kwenda nyumbani alihofia labda sitokanyaga tena kwake[emoji16] nikikaa siku 2 bila kumpigia lazima apige yeye aniulize kulikoni mbona hata simu hupigi mdingi naye mwnzo yeye ndo alionyesha kufurahishwa kujitegemea kwangu lakini baadae alikiri kuwa anatamani nirudi tena home[emoji16][emoji16] hapo nishafikisha almost mwaka 1 najitegemea...

Niliondoka nyumbani nakujitegemea nikiwa na miaka 20 tu.
 
Big up up.
 
Big up sana mkuu,hakika madogo saizi wana kuheshimu
 
Umetisha sana mkuu,usiache kwenda kumsabahi bi mkubwa [emoji2]
 
IMG_7861.jpg

Code ngum sana hi

Cc [mention]Kelsea [/mention]
 
Back
Top Bottom