Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Napika mara 2kwa mwezi 😁Wazee wa ghetto inakuajee….. muwe mnapika wazee acheni kwenda migahawani, kula mgahawani sio ishu maana wale dada ntilie ni washenzi sana….
Maji waliyofulia chupi ndiyo yanapikiwa wali mzee na chai pia ili wateje mje wa kutosha….. Hii niliwahi kuishuhudia mahali (sijasema mama ntilie, ni dada ntilie ndiyo wana visanga hivyo).
Leo kamanda wenu nimepika wali changanya na mayai ya nyanya na kachumbari moja saaaaafi kabisa. Utadhani niko hotel verde kumbe ni ghetto tu[emoji3]
View attachment 2363601
Kwa dada ntilie huikuti hii menyu mzee so muwe mnapika wajuba au vipi!!!!!!
Kula vinavyouzwa hakuepukiki