mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Yaani[emoji16]. Naambiwa king'amuzi nimenunua why nisinunie Tv niweke chumbani nisiwagasigasi madogo[emoji16]Anakufukuza kitaalamu[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani[emoji16]. Naambiwa king'amuzi nimenunua why nisinunie Tv niweke chumbani nisiwagasigasi madogo[emoji16]Anakufukuza kitaalamu[emoji28][emoji28]
Very disappointing. Usiruhusu your space kuwa disrespected hata siku moja.Hii kitu toka nlipotoka kupanga na mshkaji kilikua kinakera sometime wanae wanakuja kumuazma geto apge show na dem wake mi natoka misj nakuta geto kuna mtu afu hausk na hata kulipa umeme toka hap mpka leo nmepanga tena siwez muazma mshkaji geto aje kulala na dem wake hata iwe tunashibana vp apo atanisamehe juz kat kaja mwanangu et nimuazme geto yaan godor jipa shuka mpya kitanda kipya mi mwenyew sijawah hata kuingza demu afu yy aje ato()bee kwenye geto langu likamuangalia nkamchinjia bahrini toka sku hy hajaja geto kunitembelea kbsa mpka leo[emoji1787][emoji1787]
nmejifunza hii kitu haiweZi nitokea tena ule ni utotoVery disappointing. Usiruhusu your space kuwa disrespected hata siku moja.
Ooh, kumbe hata hizi modern apartments mnaita ghetto? Condition ni kuwa unmarried?Ghetto for unmarried people 😂😂
Mapema yote hii ushatoa kituAsabuhi njema[emoji39]View attachment 2388642
Tualikane majirani [emoji2]Asabuhi njema[emoji39]View attachment 2388642
Dah ushatoa kitu tayari...safi sanaAsabuhi njema[emoji39]View attachment 2388642
Asabuhi njema[emoji39]View attachment 2388642
[emoji23]Unatoa kitu asubuhi alafu unashinda zako gheto ukismoke na kula, jioni unaenda kuangalia game ukirudi unarudi na mtoto mzur
What a day
[emoji28][emoji28]Ayo majani ya chai mbona mengi alaf vipakit vidogo au ndo biashara yako??Asabuhi njema[emoji39]View attachment 2388642
Wewe jipikishe tu ngoja bi mkubwa akwambie ujenge jiko lako[emoji28][emoji28]Asabuhi njema[emoji39]View attachment 2388642
Kwanini Magheto Mengi ya wanawake yanakuaga machafu?
Kwamba una ratiba ngumu kiasi hicho?Napika mara 2kwa mwezi [emoji16]
Kula vinavyouzwa hakuepukiki
View attachment 2386652View attachment 2386649
Big ups mzee[emoji110]Wakuu nina mengi ya kusimulia jamvini ttzo mwandiko mbovu,, nitaeleza Kwa kufupisha,,,,
Ukiamini Mungu na kuishi kwa Imani huku ukijituma Kwa nguv zote baraka utaziona.
Nilipo yaanza maisha rasimi baada ya kumaliza masomo yangu, safari yangu ilianzia Dodoma, sina ndugu nilifikia Kwa Wana walionitangulia kumaliza nashkuru walinipokea vzr tukaishi japokuwa baadhi ya changamoto nilipitia zisizo na maumivu kwani nilikua napata wakt mgumu pale mwana akija demu wake kitu ambacho kilitia uchachu wa kufight nikapange kwangu.
Nilitoka mbali na home wazaz wakiwa hawataki ila vile nilkua nishajiapia baada ya kumaliza chuo lazima nitoke mbali na home Kwa ajili ya kutafuta maisha,, nilifanya kama nilivyojipangia tangu nasoma,, wakati nakalibia kumaliza chuo miezi ya mwishoni mpenz wangu alibeba ujauzito wangu ikawa mkazo wa me kuwa mbali.
Mama mtu akabless me kutoka Kwa ajili ya kutafuta ili tuje tuishi wote. Nimeseto Kwa Wana Kwa miez 4 muda huo najitafuta katika ofsi flan hapa dodoma.
Mpka Sasa naandika ushuhuda huu nipo kwangu nilipo panga naishi na Mke wangu pamoja na mtoto wetu, life liko good kiasi Kila hitaji tunapata, kwa uweza wa M/Mungu mwakani tunahamia kwetu.
Nilicho jifunza kwenye maisha usiogope mtangulize Mungu katika kila jambo lako fanya kazi Kwa bidii mmbo yanajipa yenyewe,,,, zingatio Kwa sisi vijana wanawake Wana nguvu kubwa sana haswa ukimpata ambaye anajielewa na aliyetayari kufanya maisha katika kila hali.
Vilivyo Anza mpaka now,,, vijana tusikate tamaa Mungu sio wa kabila moja. View attachment 2389183View attachment 2389186View attachment 2389196View attachment 2389197View attachment 2389199View attachment 2389204
Safi sana.Wakuu nina mengi ya kusimulia jamvini ttzo mwandiko mbovu,, nitaeleza Kwa kufupisha,,,,