Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Ndii inakaaNitaitafuta blue for men...japo hyo mousuf itakua inakaa sana kwenye nguo kuliko hyo nyingine
Hata kopi ya issey miyake inakaa
Na ukimuhug wifi ataenda akisikia harufu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndii inakaaNitaitafuta blue for men...japo hyo mousuf itakua inakaa sana kwenye nguo kuliko hyo nyingine
Woi 😂🤣🤣🤣Embu tulione gheto vzuri upande mwingine
Mwanza kuna sehemu 700k ila sio smartKaza utatoboa 😂
Hisense 43 smart mkoani huku ni 850-800
Dar yaweza kuwa cheap
Ndii inakaa
Hata kopi ya issey miyake inakaa
Na ukimuhug wifi ataenda akisikia harufu yako
Hiyo ni sawa,, sasa laki 1 tu si heri uongezee uchukue smartMwanza kuna sehemu 700k ila sio smart
Zoteeee nimekwambia jamaniIpi sasa unasemea blue for men au moussuf 😅😅
Hata sisi tupo vibaruani 😅Woi 😂🤣🤣🤣
Nipo ofisini mm sahivi
Nikihamia vyumba viwili ndio ntanunuaHiyo ni sawa,, sasa laki 1 tu si heri uongezee uchukue smart
Nimesema hivyo means picha hamna 🤣Hata sisi tupo vibaruani 😅
Sebule nzuri 👏🏾Kuna hii mebahatisha kwa galleryView attachment 2437312
Mwanza sijui kwann vtu bei ghali sana..mwanzoni nilijua nikifika mwanza ntakula maisha sana maisha yapo chini ila nimeona things are vice versaHiyo ni sawa,, sasa laki 1 tu si heri uongezee uchukue smart
Umeongeaa la maana,lakini mambo yanaanza mdogo mdogo.Tujipangeni tuwe na makwetu haya mambo ya maghetto pressure za kodi nayo sio kabisa.
hizi laki 3 unalipa ukiwa kwako inafanya kitu.
Yaani nioe Lisa suala la kuosha vyombo na kupika itakuwa utani?Ukitaka usiwe mvivu wa kuosha vyombo baada ya kupika fanya hivi ÷
Kwanza; usiwe na vyombo vingi ghetto, uwe na vichache vya muhimu tu.
Pili; ukiwa unapika kila chombo ambacho hakina matumizi baada ya kumaliza kazi yake hakikisha unakiosha au unakisuuza na kuirudisha mahali pake.
Mpaka unamaliza kupika utajikuta huna chombo hata kimoja kichafu isipokuwa ulivyopikia na utakavyotumia wakati wa kula. Hivi haviwezi kukutia uvivu kuosha maana ni vichache.
Kwanini nasema uwe na vyombo vichache, kwanza siyo hulka mwanaume ghetto kwake kuwe na vyombo vingi vya kupikia hii ni kazi ya wanawake.
Ukiwa na vyombo vingi vitakufanya uwe unatumia tumia tu maana unavyo vingi na unaona uvivu wa kuosho vichafu.
Sasa hii itakukusanyia vyombo vingi vichafu na vitakutia uvivu wa kuosha na hutapika, bajeti yako utaivuruga kwenda kula nje wakati kila kitu unacho ndani.
Wengine husema kwa kuwa yupo dada wa jirani au mwenye nyumba nitamuita aje anioshee, kosa la kiufundi hapa unafanya. Utaoa/kuozeshwa kabla ya muda wako.
Kuoa/kuolewa huwa siyo umri bali ni utayari wa mtu kwamba anaingia kwenye majukumu haya. Usiige kila mtu ana akili zake jinsi ya kuishi kwenye ndoa.
Kuna vijana tulianza wote maisha wakawahi kuoa, mwaka juzi nakutana nao wanasema bora wasingeoa mapema wanasema angalau sasa hivi ndio wangeoa ili wawe wamejijenga zaidi kimaisha.
Wanaume wengi huamua kuoa mapema baada ya kuchoshwa na kuosha vyombo na kupika, Tumia hiyo njia kwanza,chakula cha kujipikia ni bora na ni afya zaidi kuliko cha nje.
Lisa akikuchanganya faster unamvutia ndani, si unaona hata kutype yuko akilini mwako mkuu [emoji4][emoji4][emoji4]Yaani nioe Lisa suala la kuosha vyombo na kupika itakuwa utani?
Hiyo tv si ubandue label sasa...Baada ya uzi huu kunihamasisha hatimae na mimi nimehama home na hapa nimeandaa kitu cha chapati mayaiView attachment 2436940View attachment 2436939
Oiooh hapo sawaaa,Haaa kila siku hamna jamani
Kila week
Atafute pia Suave, ni 20k had 25k iko vizuriiii mnooo.Blue for men - elfu 25
Kopi ya issay miyake 25/35/20 depends na duka
Mbna nilisikia n 1m na na chenji? Tena wakat huo nlikua na 800k mkononi, ila sikua dukan nlimu uliza mtu ndo akanijibu hvyo.Safiii
Me nimetamani sound bar ya hisense, dukani 750….
Me hiyo bei nimeipata juzi tu hapo…Mbna nilisikia n 1m na na chenji? Tena wakat huo nlikua na 800k mkononi, ila sikua dukan nlimu uliza mtu ndo akanijibu hvyo.
Nkaachaa, nkaamua kuchukua madera n vijora kwenda kukopesha.
Mimi natumia desktop nimeconect na tv na nina movies kama 300 hivi na nyingi ni za 2021/22 karibu nikuwekee moviesYan mimi siwezi kuangalia movie kwa Tv 😂
Kuna nyakati najitahidi lkn wapi.. au niache kulipia dstv labda nitatoboa