Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wakuu naombeni ushauri katika maisha Yangu.

Kwanza Hongereni sana na mapambano, ila katika maisha ya Ghetto jitahidi sana kuweka uvumilivu katika Muda.

Tukumbuke sisi ni Wapambanaji, hatutegemei msaada kutoka kwa mjomba au shangazi. Usitake mambo mengi kwa wakati mfupi...(power of delayed Gratification)

Kwa upande wangu Iko hivi.
Nina ishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost miezi 10 Sasa.

Kiukweli uyu manzi ananikubali sana, na Mimi pia namkubali kinyama. Hii ni kwasababu amenisaidia mambo mengi sana. Katika kutimiza ndoto zangu..(amenisaidia sana)

Sasa kwakuwa nakaaa nae bila ndoa, Kuna changamoto ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Mana kijamii na kidini sio sahihi kukaa kiunyumba bila ndoa..

Sasa huyu dada akasema yeye atahama ila mwezi ukiisha itabidi nihamie hapo alipopata chumba mana mama mwenye nyumba hawaelewani(udhaifu wa wanawake))

Sasa Mimi naomba ushauri
Nikae nae au tukae tofauti ila tutakuja kufunga ndoa au tuanze kupambana kuanzia chini mpaka juu??

Je hustle za kupambana uku unaishi na msichana ambae utakuja kumuoa inaakaaje??

Naombeni ushauri wa kina mana nikimwambia tukae tofauti lazima aanze kulia..

Naomba ushauri!
Ninapokaa Kodi inaisha mwezi wa tano(40000) tutakapo Amia ambapo amelipa yeye Kodi ni (70000) amelipa miezi 4.

Naomba msaada
Kaeni pamoja tu,kwenye room yako ya elfu40.
 
Mkuu,kwanza jiulize uko tayari kuishi na mtu kwa sasa? Miezi 10 sio mingi katika uhusiano,,Kama unaona uko na hyo willingness ya kuishi nae sawa,lakin usiende kuishi alipopanga yeye,utakua kama unaishi kwake sasa, na hyo Kodi ikiisha utaanza kulipa ww hiyo 70K.so fikiria hayo chukua hatua,na ww ndio kuongozi wa huo uhusiano ,So Kua Mwanaume haswa
 
Kabisa
 
Wakuu naombeni ushauri katika maisha Yangu.

Kwanza Hongereni sana na mapambano, ila katika maisha ya Ghetto jitahidi sana kuweka uvumilivu katika Muda.

Tukumbuke sisi ni Wapambanaji, hatutegemei msaada kutoka kwa mjomba au shangazi. Usitake mambo mengi kwa wakati mfupi...(power of delayed Gratification)

Kwa upande wangu Iko hivi.
Nina ishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost miezi 10 Sasa.

Kiukweli uyu manzi ananikubali sana, na Mimi pia namkubali kinyama. Hii ni kwasababu amenisaidia mambo mengi sana. Katika kutimiza ndoto zangu..(amenisaidia sana)

Sasa kwakuwa nakaaa nae bila ndoa, Kuna changamoto ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Mana kijamii na kidini sio sahihi kukaa kiunyumba bila ndoa..

Sasa huyu dada akasema yeye atahama ila mwezi ukiisha itabidi nihamie hapo alipopata chumba mana mama mwenye nyumba hawaelewani(udhaifu wa wanawake))

Sasa Mimi naomba ushauri
Nikae nae au tukae tofauti ila tutakuja kufunga ndoa au tuanze kupambana kuanzia chini mpaka juu??

Je hustle za kupambana uku unaishi na msichana ambae utakuja kumuoa inaakaaje??

Naombeni ushauri wa kina mana nikimwambia tukae tofauti lazima aanze kulia..

Naomba ushauri!
Ninapokaa Kodi inaisha mwezi wa tano(40000) tutakapo Amia ambapo amelipa yeye Kodi ni (70000) amelipa miezi 4.

Naomba msaada

Ni changamoto kwa Kweliii
Ila tumia akili zaid kuliko hisia
40,000 kwa 70,000
Ayo mahesabu Kweliii
Mchele kilo 4,000/= .
 
Hapa lazima ufukuzwe getto
FB_IMG_1676818755928.jpg
 
Kodi yako ikiisha hapo ulipo hama tafuta chumba cha bei hiyo unayolipa kwa sasa. Kwenda kuishi kwa huyo binti sikushauri, mwanaume unatakiwa uishi kwako na siyo kwake (ke).
Hii geto ama studio
 
Wakuu naombeni ushauri katika maisha Yangu.

Kwanza Hongereni sana na mapambano, ila katika maisha ya Ghetto jitahidi sana kuweka uvumilivu katika Muda.

Tukumbuke sisi ni Wapambanaji, hatutegemei msaada kutoka kwa mjomba au shangazi. Usitake mambo mengi kwa wakati mfupi...(power of delayed Gratification)

Kwa upande wangu Iko hivi.
Nina ishi na msichana ambae tupo kwenye uhusiano almost miezi 10 Sasa.

Kiukweli uyu manzi ananikubali sana, na Mimi pia namkubali kinyama. Hii ni kwasababu amenisaidia mambo mengi sana. Katika kutimiza ndoto zangu..(amenisaidia sana)

Sasa kwakuwa nakaaa nae bila ndoa, Kuna changamoto ya mwezi mtukufu wa ramadhani. Mana kijamii na kidini sio sahihi kukaa kiunyumba bila ndoa..

Sasa huyu dada akasema yeye atahama ila mwezi ukiisha itabidi nihamie hapo alipopata chumba mana mama mwenye nyumba hawaelewani(udhaifu wa wanawake))

Sasa Mimi naomba ushauri
Nikae nae au tukae tofauti ila tutakuja kufunga ndoa au tuanze kupambana kuanzia chini mpaka juu??

Je hustle za kupambana uku unaishi na msichana ambae utakuja kumuoa inaakaaje??

Naombeni ushauri wa kina mana nikimwambia tukae tofauti lazima aanze kulia..

Naomba ushauri!
Ninapokaa Kodi inaisha mwezi wa tano(40000) tutakapo Amia ambapo amelipa yeye Kodi ni (70000) amelipa miezi 4.

Naomba msaada

Kwanza umekosea kukubali ye atafute chumba, ulipaswa kumwambia akupe muda utafute au tafta ela ata nusu ya miez miwil af mwambie akuongezee yake ya miezi minne(4) alafu ukalipe wewe na kilakitu na mamna yakuham panga wewe ila ye mpe fula yakutoa ushauli,

Pili umekosea kukubal kod ya elfu70 labda kama alikushirikisha nawe ukaona unaweza kumudu maana baada ta hapo utatakiwa kulipa wewe akilipa yeye na mkaendekea salama bas iko siku au unamungu tuu yaani umepata mdada anayekuelewa kufa kupona ila najua tuu mbeleni atazingua kama sio kutangaza kwa rafik zake au ndugu kua pale ni kwake nawe itakubid kua bwege tuu au kua mkali akutimue

Chatatu as mwanaume usiridhike kukaa kwenye iyo khal pambana sana atlist ye kafanya ivo nawe nunua kiplot sehemu muoneshe ataona mnasaidizana tuu au kod inayofata hakikisha unalipa wewe.

Mwisho fanya kumuoa ndoa ya msikitin si waislamu hatuna mambo mengi, ni bajet kama ya laki2 au elfu50 kama ikiwa ni yamkeka tuu msikitini kama mnapesa na sponsor wapo fanyeni sherehe, ndoa kama we umetliza akili nayeye pia ametliza akili na mmamwogopa mungu bas ndoa itawaongezea baraka ika kama nyote ni akilizenu zipo jujuu mtaombana tarak soon tuu na ikiwa mmepotezeana muda, Pia fanya yote for now jitahid asibebe mimba kos bado mapema sana af bado hamanjasettle kiuchumi ukitak kuuona moto mpe mimba now labda mungu tu ajalie mmoja wapo apate kipato zaid ndo mtaish sawa.
 
Nashukuru sana kaka
Mungu akubaliki hakika huu ujumbe umenionesha jinsi gani unajali wana JF....nakubali sana kaka
 
Back
Top Bottom