Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kuna kiasi cha pesa nasubiri kitimie, najua kitatimia kabla ya mwezi wa 10 ambao ndio mwezi naotaka kuingia ghetto.

Sasa hv nimefikisha 75% ya pesa nayoitaka kuanzia nayo maisha ya ghetto.

Sijaajiriwa Ila kuna mahali najitolea hvy kuna vipesa najipatia.
 
bcf5c352d0ed1cc3e7be97b411b90204.jpg

Haka ka dining table kananifaa wadau. Au mnasemaje?
 
Back
Top Bottom