Ulianzaje Kushabikia Timu unayoipenda ..Mimi nilianza hivi..!

Sikumbuki lin nmeanza kuipenda Simba ila Fainali ya Caf 1993 na stella abijan ile ya kwanza inachezwa usiku inatangazwa radio tanzania nilikua tayar naipenda simba
 
Ee bwanaa kwa EPL ..AFC ndo kila kitu yan mwanzon miaka ya 2000 kila nkifungua tv naona tu Henry anashangiliaaaa yan ile va vaa vuuuuum...nikaona enheee ze gunnerz ndo chama kubwa mpk kesho!
Huku bongo ..enzi hizo Kweny redio kweny miak ya 2000 kila ukifungulia tuuu ni Simba! Simba! so nkaikubal ze mnyama mpk kesho! COYG//NguvuMoja
 
Incase hamjui:
Formation za 3–2–5 or 3–4–3 au 3–2–2–3 zilianzishwa kwa mafanikio na Kocha wa ARSENAL FOOTBALL CLUB bwana Herbert Chapman
[HASHTAG]#Gunner[/HASHTAG]!
 
Early 80s kaka Yangu alikuwa Yanga, na mimi nikaipenda Yanga akakataa nisiishabikie Yanga, basi nimeishabikia PAN African km miaka 3 lkn Yanga damu damu. Baadae nilipojitambua nikirudi Dar Young Africans wakati wa akina Abeid Mziba, Allan Shomari, isihaka Hassan chukwu, Charles Boniface mkwasa. ULAYA kwa nchi Italy. Mwaka 1984 nilipata komunio ya kwanza pale Matogoro songea. Kwa wakristu hasa Catholics wataelewa. Jioni my bro akanipeleka TTC matogoro kwenye ujumbe wao kuna picha walikuwa wanaonyesha moja wapo ilikuwa ni 1982 final kati ya Italy na Germany. Italy waliichapa German. Naikumbuka jina Dino zoff lilikuwa likitajwa sana na Karl Heinz rummanige toka hapo nikawa mpenzi sana wa Italy. Klabu Ulaya kibibi kizee cha Torino JUVE! hapa hunitoi . ZIdane katikati, lilian Thulam, Gianluca Vialli, fabrizio Ravanelli, Atilio Lombardo. Huyu bibi kizee alikuwa noma. Baadaye Chelsea sababu Vialli na Juve walipotwaa UEFA 1995-6 alikwenda Chelsea. Halafu italy influence chelsea ikawa kubwa akina zolla, di mateo. Madrid Ajax so thats all
 
David Beckham na peter schumarkel walinifanya niipende Manchester united hasa baada ya kuchukua ubingwa wa club bingwa ulaya mwaka 1999 nikiwa darasa la tano tena kwa kusikiliza tu kipindi cha michezo redio Tanzania saa moja na dk 40, na mtangazaji wake Ezekiel malongo(RIP).
Beckham pia amenifanya nimekuwa shabiki wa timu ya taifa ya England, na ubovu wao sijawahi hata kuwaza kuacha kuwashabikia, kila Mara nanunua jezi ya Utd na England.
Though pia Mimi ni shabiki mkubwa wa soka la Barcelona, barca niliipenda sababu ya rivaldo na Figo.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ukichukua mwaka huu kombe kuchukua tena magufuli hayuko madarakani.

Hata mwaka huu utachukua wewe yanga si una mabeki watema mate yondani na kessy bana hofu ya nini!.. na kule kwenye foward una matikiti boy chura chirwa ubingwa wako huu bwana Nsajigwa
 
RICARDO IZECSON DOS ANTOS LEITE 'KAKA' Huyu mtu ni hatari sana hasa ile Baloon D'or msimu wa mwaka 2007 /2008 ndo binadamu pekee kuchukua tuzo mbele ya LIONEL MESSI NA RONALDO. Aliwapiga Manchester united pale Old Trafford hawakuamini.
 
Dah nakumbuka redio Tanzania yakitajw majina y Mark selengo,pawasa n nteze nilikuw nafurahi xn mara mrnyama paaaaa. Kule Europe France 2000 Trezig et n gori lake la dhahabu mpak Léo unitoi. Wale watoto w France nikakutan nao pal england kuna Henry,wiltord,viera,petit n pires bc mahaba yng arsenal mpaka naondk duniani
 
Argentina imetoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…