King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
- Thread starter
- #21
Safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hata kumbukumbu vizuri 2010?????
2012 basiSi nimesema nilikua mdogo? Mi nnachokumbuka vizuri ni hizo tano bila tu kwani we umesizahau?
2012 basi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ukichukua mwaka huu kombe kuchukua tena magufuli hayuko madarakani.Ok
Basi zile tano ndo sababu ya mimi kupenda mnyama hatari
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ukichukua mwaka huu kombe kuchukua tena magufuli hayuko madarakani.
Argentina imetokaMimi kila mwaka wa World cup huwa nachagua timu 2006 nilichagua Ufaransa 2010 nikachagua spain 2014 nilichagua Ujerumani. 2018 niko argentina
Club ya arsenal aliyefanya niishabikie ni mnyama fulani anaitwa Fredriu Ljungberg yaan huyu jamaa alipiga bao mechi ya nusu fainali kombe la FA dhid ya bolton tukashinda 2-0 Roberto Pires alinifanya niamini hakuna kama arsenal duniani jaman kwa anayeijua ile arsenal mi siendelei kusema hapo nipo darasa la kwanza
Simba na Yanga nilikuwa simba kwa kuwa mjombangu alikuwa simba ila nilipokuwa kidogo nikiwa la 6 nilijitambua na kujua moyo wangu upo kwa yanga maana hata simba na yanga zikicheza simba akishinda nilikuwa nashindwa kushangilia nahis tumebahatisha,
Hii imenifanya nisioe kwa mkumbo kisa wenzangu wanasifia chura basi nioe mwenye chura hapana nasikilza zaid sauti ya ndani.
Na sijutii na mnajua Yanga ni mume halali wa simba.