Ulichagua kozi ambayo si kipaumbele, kwanini ulalamike kukosa mkopo?

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,780
Reaction score
2,555
We kama unajua mtoto wa familia ya kimasikini kwanini ujaze course zisizo na mkopo

.eti mtoto wa mama ntilie unajza chuo ka ifm wakati coz karibia zote za pale ni non priority.

kwa mliojaza coz za priority mkakosa nawaonea huruma sana wadogo zangu but mkifika chuo mtapewa utaratibu namna ya kufuatilia mtapata tu mkopo tena kwa wale wa sua by experience msihofu kabisa mtapata tu.
 
hahahahahaha sasa mimi niliomba PLM'nifanyeje kwani sisi jamii haituitaji???? Usinitoe meno lakini
 

semaaa mi nshachoka
 
mpk mnakera... hakuna ata maneno ya kutiana moyo wakuu...wadogo au watoto wenu watapitia hiyihiyo njia....kweli upendo umepungua duniani...aya mwenye mada endelea kuwapa yao.. ubarikiwe
 
mpk mnakera... hakuna ata maneno ya kutiana moyo wakuu...wadogo au watoto wenu watapitia hiyihiyo njia....kweli upendo umepungua duniani...aya mwenye mada endelea kuwapa yao.. ubarikiwe
Maneno yapi ya kumtia moyo mtu aliyejaza coz non priority
 
Sawa hawakuchagua lakin jua hizo za priority zina mwanzo mpk mtu azijaze...kuna combinations hawawez jaza any priority course... labda education na kwenyewe apati yote...yawezekana mleta mada upo pazuri kwa kila kitu ndo mana unaandka kwa dharau na kujibu matusi...yawezekana una elimu nzuri ila huna busara...tunashauriana bt c kwa dharau ivo mkuu..binadamu tuna tofautiana ndo mana kuna mwenye uwezo na sheria na mwingine udaktari.. so wote atleast wazingatiwe ata kama siyo completely equally bt kuwe na uwiano mzuri..
 
Hakuna Aliyeonewaaa Afu Kumbuka Mungu Hakupi Unachotaka anakupa Unachostahili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…