Sawa mkuu, nami kubeba funguo sikuona ubaya.Sijawahi kataliwa na demu maana nipo real, siwezi jifanya namiliki gari kali kumbe hohehahe. Mimi kidume haswaaaa [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohhh....Kiduku Lilo kwa nini uliwasha gari?
Sawa siku nyingine usiegemee magari ya watu sasaOhhh....
Mkuu, huyu kubwa hawezi nifanyia unyama kama ule aisee....
Alafu huyu yeye huwa anakunjua roho kama yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa ushauri mkuu, hata funguo sito ning'iniza tena aiseeeSawa siku nyingine usiegemee magari ya watu sasa
Punguza roho kubwa mkuuNlitaka nkugonge ila nkakausha tuu, nlikuwa nna stress zangu nkaona unataka niwekea flight mode!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ya kwako?Sawa mkuu, nami kubeba funguo sikuona ubaya.
Ama nilikosea kuegamia ile BMW..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Swagger zako sio mkao Chief, yaani ulijitega utadhani upo Yard ya magari Japan?
Aiseeee
Ohhhh.....Hapo unataka kusema Sisi wanawake tunapenda wenye magari? Acha kutuchukulia poa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naja kama nilivyo sina hata baiskelHapo unataka kusema Sisi wanawake tunapenda wenye magari? Acha kutuchukulia poa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohhhh.....
Kumbe wewe ni Ke...??
Anyway, hiyo ni tafasiri yako wewe kuhusu magari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Love you
Nimekupata mujarab kabisa mkuu, ebu basi nifanyie wepesi kama hauto jali tafadhali....
Dahhh....Usirudie kuegemea magari ya watu,RANGI gharama sana
Bila shakaHuyo alikuwa Kiduku Lilo, subiri atakuja kujisifu hapa utamwambia