Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu, nami kubeba funguo sikuona ubaya.Sijawahi kataliwa na demu maana nipo real, siwezi jifanya namiliki gari kali kumbe hohehahe. Mimi kidume haswaaaa [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama nilikosea kuegamia ile BMW..??
Sent using Jamii Forums mobile app