Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Sorry hivi mnavyosema Chai huwa mnamanisha nini? Maana huu msemo umekuwa maarufu sana humuChai mbichi, yaani imewekwa majani ya chai, sukari lkn haijachemshwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry hivi mnavyosema Chai huwa mnamanisha nini? Maana huu msemo umekuwa maarufu sana humuChai mbichi, yaani imewekwa majani ya chai, sukari lkn haijachemshwa
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀Hayaja kukuta tu mkuu, watu wazima tunavumilia mengi sana kwenye haya maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, huyu member alinifanyia ukatili sana pale Pestana aiseeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wakikujibu naomba unitagSorry hivi mnavyosema Chai huwa mnamanisha nini? Maana huu msemo umekuwa maarufu sana humu
Huyo alikuwa pembeni yangu mkuu.Kumbe pestana nilikuona na mtishet wako mweupe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo njaro zimetoweka zaidi mkuu, hata njeku imekuwa changamoto huku kitaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itabidi na ww ununue hata kirikuu sasa.
Mkuu, ebu tusichekane kwenye mambo ya msingi tafadhali...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna shida
Basi hawa jamaa wenye passo watatutesa sana mpaka tushike adabu mzee wangu.Tatizo njaro zimetoweka zaidi mkuu, hata njeku imekuwa changamoto huku kitaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Story ya kutunga.Sorry hivi mnavyosema Chai huwa mnamanisha nini? Maana huu msemo umekuwa maarufu sana humu