tamu 3 Member Joined Dec 11, 2024 Posts 88 Reaction score 216 Mar 18, 2025 #1 Umealikwa mtaani penu Kuna shughuli umbali wa km 1 kutoka kwenu unatembea kwa miguu mara baada ya mvua kuisha, kwa bahati mbaya wakati unakaribia kwenye tukio ukateleza na kukaa chini topeni nguo matope yamejaa, ulifanyaje?
Umealikwa mtaani penu Kuna shughuli umbali wa km 1 kutoka kwenu unatembea kwa miguu mara baada ya mvua kuisha, kwa bahati mbaya wakati unakaribia kwenye tukio ukateleza na kukaa chini topeni nguo matope yamejaa, ulifanyaje?
G Gusa achia twende kwao JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 916 Reaction score 1,031 Mar 18, 2025 #2 ulifanyaje au utafanyaje? jibu inategemea waliokualika kama ni wana naenda kama sio wana nawakataa
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,572 Reaction score 22,926 Mar 18, 2025 #3 Inasikitisha sana! Ngoja waje wajuzi wa mambo.
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 2,136 Reaction score 5,175 Mar 18, 2025 #4 Ukiondoa haibu town unatoboa
Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 5,985 Reaction score 21,212 Mar 18, 2025 #5 Inategemea kama wakati wa kula Bado nitarudi home kwa jogging nikabadili nguo ila kama mud wa mankuli tayari aanh naenda hivyo hivyo
Inategemea kama wakati wa kula Bado nitarudi home kwa jogging nikabadili nguo ila kama mud wa mankuli tayari aanh naenda hivyo hivyo