Ulichukuwa hatua gani ulipotambua unachukiwa bila sababu au unaonekana huna msaada wowote kwa waliokuzuguka?

[emoji2369] Kwanini unaona fursa ya biashara na kuificha bila kuwashirikisha rafiki zako kisa wewe huihitaji? [emoji2369] Kwanini uko na nafasi ya kumsaidia mtu kupanda cheo au kupata ajira mpya hufanyi hivyo kwa sababu wahusika sii wa kabila lako au dini yako?

Hii ipo sana udini na ukabila
 
Kosa lake ana jitahidi kuridhisha kila mtu.
 
Wamesha chezea himaya ya kiroho ajiwahi haraka kabla hajaanza kusafisha jiji maana ana dalili zote za kutupiwa karma.
Wameshamuona ni threat kwao.. Hivyo wanajaribu kumuweka chini ili ashindwe kupambana.. Abaki kulia Lia tu.. Kuwaza Sana kuingia kwenye depression na kulewa.

Elimu ngumu sana hiyo kueleweka Kwa miili hii ya damu na nyama.
 
Uchawi huo mjomba jiwahi makete huko kajisafishe kabla mashetani hayajajenga kichuguu hapo niamini nimepitia hayo majanga.
 
Hakuna hatua yabkuchukua
Unkshukuru tu ALLAH SUBANAH WA TAALA

Unafanya tu kama hakijatokea kitu, walimwengu wagumu sana
 
Rafiki yako ni people pleaser mtu anayefanya mambo ili kufurahisha na kuridhisha wengine na wakati mwingine kila mtu.
Na anafanya kila anachokifanya kwa uoga na kuogopa kukataliwa na kutengwa, hivyo anatafuta approval na acceptance kwa nguvu.

na sio kwamba kila anachokifanya hapo anafanya kwa kupenda hapana bali kwa uoga na wakati mwengine mpaka kusimamisha mambo yake kwa ajili ya watu wengine. na hajui kusema hapana na wanamuendesha na kumtumia kama kondoo. now that's some sophisticated level of bullshit right there.
Na ndio maana baada ya hapo ameanza kuwa na mawazo na ujinga mwingine (ndio ni Ujinga).

Solution ni aachane nao na amind business zake na ajifunze kuwa mbinafsi na katili na awe na misimamo mikali isiyoyumbishwa pia aache uoga na ujinga, kama hataki basi aendelee kujitesa kama hivyo na ajiandae kufa kwa mawazo. sitanii hapa mkuu.
Seriously unaacha business zako na maisha yako kuyumba kwa sababu ya mbuzi kwa jina la marafiki dude WTF is that? huu ni ujinga wapi kudadadeki?
Don't be a goddamn bitch! au utakufa kizembe na hakuna atakayejali, seriously nobody gives two shit about you.

Mtu kama hakutaki na hana msaada wowote wa maana kwako basi jikatae kabla hajakukataa, mapema kabisa. mwambie kuanzia leo atambue kila mtu ni mshenzi na mbinafsi na hakuna wema mbele ya washenzi na wabinafsi sababu utaishia kutumika tu. na umtreat kila mtu kwa jinsi anavyokuja yaani moto kwa moto na maji kwa maji, ushenzi kwa ushenzi, heshima kwa heshima, chuki kwa chuki na hakuna kucheka na kima.
Ajifunze kuishi peke yake na kama marafiki basi itakuja kuwa mke na watoto wake.

Maneno niliyotumia sio makali lakini ndio ukweli mchungu wa binadamu na dunia ya leo, kuna hiki kitabu narecommend kwa watu kama hao nawaita doormats.
kinaitwa The subtle art of not giving a Fukc mwambie akisome.
 
Poa mkuu
 
Unapiga kimya tu ... Sometimes ni better kuwa man alone ... Mkikutana kilingeni poa msipoonana fresh ..fanya yako .... Marafiki wanalostisha kinomanoma ... Fanya yako marafiki wa ukweli wapo tu ... Tena unakuta jamaa hata sio wakuwasiliana naye kiviiile lakini siku zikigonga anakupa michongo mingi na habari nyingi za msingi kuliko Wana mnaokutana Kila siku na kupiga gambe na stori za kikuda.
 
Sometime mtu anakuchukia tu bila sababu yeyote ..hakupendi tu ..wenyewe wanasema damu haziivi ... Inakuwa tu tangu day one mtu hakuelewielewi tu
 
1. Aisamehe nafsi yake na awasamehe kwa moyo safi yote waliyomfanyia. Usiweke chuki wala kisasi kitakutesa wewe

2. Ukitenda wema usingoje shukrani, mara nyingi unaowasaidia hawatakusaidia na wewe, bali karma ilivyo na wewe utasaidiwa na watu wengine.

3. Jaribu kuicontrol akili yako, kwani wakati mwengine inakuambia vitu ambavyo wala havipo hivyo kuliko uhalisia katika maisha. Inawezekana akili yako inakwambia sivyo kuhusu situation ya marafiki zako au tu inazidisha chumvi.

4. Muda ni mchache sana wa kuishi hapa duniani, muda mwingi kwenye siku ukiutumia kuwawaza hao marafiki utakuta karibu siku nzima una-concetrate na maisha yao, kuwawaza wao, mpaka utakosa muda wa kufanya biashara zako sababu akili haizalishi bali inafikiria tu marafiki na kujiharibia biashara yako wewe mwenyewe.

5. Mbinu za kunywa pombe, uzinifu zitakupotezea pesa nyingi ambazo zitaiharibu mtaji wa biashara yako, zitakuletea nuksi, ajali, ufanisi mbovu, maradhi na magonjwa mbali mbali hata stress zitakuletea kisukari, presha, magonjwa ya moyo, kudhoofu nk.

(Njia ninayotumia mimi kwa rafiki mbaya na KUMKATAA TU, automatically kila kitu kinakuwa sawa mbeleni, hau-deal nae wala kumshirikisha kitu chochote, unamuacha tu kama alivyo)

Usijipe stress kwa mtu/vitu ambavyo huwezi kuvicontrol, vitakutesa tu.
 
Hakuna anayemchukia, tatizo ni yeye, the nigga ana-low self esteem, he must put himself first sisemi awe Selfish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…