Kichwa kinaniuma sana
Sent from my Serbs of Bosnia
sababu ni kwamba kwa mfano tuseme umechagua namba x na y step1 x zidisha 2 = 2x ,step2 ukichukua 2x+5=2x+5 ,step3 ukichukua (2x+5) zidisha 5 =10x+25 step4,then ukichukua !10x+25+y yaani ile namba ya pili =10x+y+25 step6, ukichukua jibu yaani 10x+y+25-4=10x+y+21 halafu step7, ukichukua jibu lililobaki toa 21 yaani 10x+y+21-21=10x+y trick ni kwamba ukichukua 10 zidisha moja kati ya zile namba jibu litakuja kuwa sawa na zile namba ulizochagua mfano ulichagua x,y=10x+y weka namba yaani 3,4=10 x 3 +4=341. Chagua namba zozote mbili tofauti
2.Zidisha mojawapo ya hizo namba kwa 2
3.Jumlisha 5 kwenye jibu
4.Zidisha jibu ulilopata kwa 5
5.Jumlisha namba ile ya pili uliyoiacha mwanzo kwenye hilo jibu ulilopata
6.Toa 4 katika jibu la hapo juu
7.Toa tena 21
Jibu lake ni namba mbili ulizozichagua! Amazing!
Niambie kwa nini inakuwa hivyo?
una panado aiseeÀndres Alexis;6406385 said:sababu ni kwamba kwa mfano tuseme umechagua namba x na y step1 x zidisha 2 = 2x ,step2 ukichukua 2x+5=2x+5 ,step3 ukichukua (2x+5) zidisha 5 =10x+25 step4,then ukichukua !10x+25+y yaani ile namba ya pili =10x+y+25 step6, ukichukua jibu yaani 10x+y+25-4=10x+y+21 halafu step7, ukichukua jibu lililobaki toa 21 yaani 10x+y+21-21=10x+y trick ni kwamba ukichukua 10 zidisha moja kati ya zile namba jibu litakuja kuwa sawa na zile namba ulizochagua mfano ulichagua x,y=10x+y weka namba yaani 3,4=10 x 3 +4=34
Brilliant mkuu.Àndres Alexis;6406385 said:sababu ni kwamba kwa mfano tuseme umechagua namba x na y step1 x zidisha 2 = 2x ,step2 ukichukua 2x+5=2x+5 ,step3 ukichukua (2x+5) zidisha 5 =10x+25 step4,then ukichukua !10x+25+y yaani ile namba ya pili =10x+y+25 step6, ukichukua jibu yaani 10x+y+25-4=10x+y+21 halafu step7, ukichukua jibu lililobaki toa 21 yaani 10x+y+21-21=10x+y trick ni kwamba ukichukua 10 zidisha moja kati ya zile namba jibu litakuja kuwa sawa na zile namba ulizochagua mfano ulichagua x,y=10x+y weka namba yaani 3,4=10 x 3 +4=34
the answer is that f(x,y)=10x+y,so that if you put any two figure number it give you xy