Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 280
- 727
Najua wengi ni wahanga.
Weekend karibuni Tujadili hii mada ulifanyaje ulipoona mshahara hautoshi tena na mahitaji ya lazima, madeni yameongezeka.
Hii kada kwa ajili ya waajiliwa mshahara umetoka unajikuta ulichopokea lazima kiende kwenye.
1. CHAKULA hapa ni zaidi ya nusu ya mshahara ulionao unaishia lwenye chakula hasa ukiwa na familia.
2. NAULI NA MAFUTA
naongelea wenye gari na wale wanaotumia usafiri kwenda eneo la kazi.
3. BILLS ZA LAZIMA hapa naongelea vingamuzi,umeme maji Bando gas mkaa.
4. MATUMIZI MENGINE.
Sadaka ,michango manunuzi ya nguo kwa familia.
5. DHARURA.
Watumishi wengi hatuna.
Je, ulifanya nini ulipogundua mshahara wako hautoshi tena na wala haulidhi mahitaji ya binadamu.