Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 280
- 727
Uzi umeutendea hakiStress za kukosa usingizi usiku ndio vilianza, baadae ndio kutambua lazima lifanyike jambo la kuongeza kipato nje ya ajira.
Swali gumu likaja, nitafanyaje kuongeza kipato nje ya ajira nikiwa bado nimeajiriwa?
Hapo nilikaa miezi natafakari majibu, baada nikajua lazima niwe na mtu wa pili, nje ya familia yangu tutakayeaminiana, asimamie mambo yangu.
Ok, fine, swali tena likaja huyo mtu awe ndugu wa damu au mtu baki?
Nikaona nianze kwanza na mtu baki, kama tutashindwana ndio nirudi kwa ndugu wa damu.
Bahati nzuri mtu baki niliyempata tumeendelea kuwa wote kama ndugu, kila nachotuma anakitumia kulingana na maelekezo nayompa.
Hii inasaidiwa pia na yeye kuwa na majukumu, lakini hajaajiriwa, so nikimtumia chake kidogo anashukuru kwa ajili ya familia yake.
Kingine kinaelekezwa kwenye mipango yetu, mwisho wa siku pia tukikamilisha kila mpango, anajua nae ana fungu lake.
Kimsingi nimeokoka na stress za kipato kidogo kwa mtindo huo, bahati nzuri na jamaa yangu nae ameanza bishara ya dagaa kwa fungu tulilopata kama mgao wa kazi niliyokuwa nampa.
Nilichojifunza kwenye haya maisha, kimsingi kila changamoto huwa inamalizwa na mudq, jipe muda wa kutafakari solution bila hofu.
Amini huwezi kukosa njia ya kupita hata kama mwanzo utakuwa unaliona giza zito liko mbele yako.
Hii haiwezi kutokea kwasababu mambo yako, kwa ajili ya familia yako, ni siri yako.usiombe wafanyakazi.wenzio wagundue unafanya biashara ingine na unatajilika.
utafanyiwa figisu hadi utahamishiwa mbaali na kusikokua na fulsa yoyote ya maana.
Mkuu haujasema ulipata wap mtaji wakuanza chanzo kingine cha kipato kwan mshahara hautoshi au ulikopaStress za kukosa usingizi usiku ndio vilianza, baadae ndio kutambua lazima lifanyike jambo la kuongeza kipato nje ya ajira.
Swali gumu likaja, nitafanyaje kuongeza kipato nje ya ajira nikiwa bado nimeajiriwa?
Hapo nilikaa miezi natafakari majibu, baadae nikajua lazima niwe na mtu wa pili, nje ya familia yangu tutakayeaminiana, asimamie mambo yangu.
Ok, fine, swali tena likaja huyo mtu awe ndugu wa damu, au mtu baki?
Nikaona nianze kwanza na mtu baki, kama tutashindwana ndio nirudi kwa ndugu wa damu.
Bahati nzuri mtu baki niliyempata tumeendelea kuwa wote kama ndugu, kila nachotuma anakitumia kulingana na maelekezo nayompa.
Hii inasaidiwa pia na yeye kuwa na majukumu, lakini hajaajiriwa, so nikimtumia chake kidogo anashukuru kwa ajili ya familia yake.
Kingine kinaelekezwa kwenye mipango yetu, mwisho wa siku pia tukikamilisha kila mpango, anajua nae ana fungu lake.
Kimsingi nimeokoka na stress za kipato kidogo kwa mtindo huo, bahati nzuri na jamaa yangu nae ameanza bishara ya dagaa kwa fungu tulilopata kama mgao wa kazi niliyokuwa nampa.
Nilichojifunza kwenye haya maisha, kimsingi kila changamoto huwa inamalizwa na mudq, jipe muda wa kutafakari solution bila hofu.
Amini huwezi kukosa njia ya kupita hata kama mwanzo utakuwa unaliona giza zito liko mbele yako.
Nilichukua mkopo ndugu.Mkuu haujasema ulipata wap mtaji wakuanza chanzo kingine cha kipato kwan mshahara hautoshi au ulikopa