Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Munchamuja ni neno la kilugha,muunganiko wa maneno mawili muncha= msichana,muja=mzuri.kwa hio msichana mzuri.ila mie sio kihivyo ni ID tu.
 
Nilikua kila nikienda ukweni wananipa zawadi mbalimbali na moja wapo ni Maharage,sasa haya maharage ni matamu sana na wala huwa hayajapuliziwa madawa ya kuhifadhiwa kwahiyo yana ladha nzuri sana tofauti na tunayonunua dukani so nilivyoamua kuchagua ID ya Jf nikaamua kutumia MAHARAGE YA UKWENI
 
Mromboo- Mimi ni asili yangu. Pia avator inaonyesha aina ya mgomba ambao unaitwa kibungara. Ni mzuri sana kwa utengenezaji wa mbege. Toka rangi mpaka ladha. Karibuni Rombo
 
Jina langu ENJAI YA KYASHA linamanisha bangi inayotoka sehemu fulani za milimani panaitwa Kyasha hiyo bangi inaaminika kuwapa watu consciousness ya maana.

Delta Force
 
Ni jina la kisanii la mwigizaj wa kifilipino Bea Alonzo alilotumia kwenye telenovela ya "It might be u" nilipenda part aloplay na misukosuko ya kimapenzi alokutana nayo!
I liked the part too

Good Neighbour
 
Langu lina maana kubwa sana sababu mm ni mchezaji mpira na role model wangu kwenye soccer ni jamaa
 
because my voice is real.. when i say let it be, for sure it will be!!

The real voice
 
Munchamuja ni neno la kilugha,muunganiko wa maneno mawili muncha= msichana,muja=mzuri.kwa hio msichana mzuri.ila mie sio kihivyo ni ID tu.
Acha uwongo...kwani msichana mbaya yupoje?
 
Back
Top Bottom