Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Mola amenijalia awareness kwenye mambo mengi sana....
socially,economically,environmentally,politically etc
thus the name.
 
PAMOJA TUTASHINDA..mm ni muumini wa kushirikiana hua naamini katika umoja ndio maana mm ni pia ni fans wa Simba sports club ambao wana slogan ya SIMBA NGUVU MOJA..kwaiyo nilijipa jina ilo ku-express imani yng juu ya kufanya mambo kw pamoja..pia jina ili lilichagizwa na kipindi cha kampeni ya uchaguzi wa raisi12015 maana ndipo nilipojiunga JF..niliamini tukishikamana kw pamoja na kumpa kura mtu mmoja basi atashinda...ingawa mgombea wangu hakushinda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibobe! Ndio jina nililopewa na babu yangu, thats why nalienzi ila nina jina modern ambalo ndio nafahamika nalo zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…