Ulifikiria nini kutumia Avatar unayoitumia sasa?

Ulifikiria nini kutumia Avatar unayoitumia sasa?

Aliyeko kwenye avatar yangu ni MAMA MKWE WANGU

Huwa ananitandika makonzi KweRi KweRi..

Mama Mkwe SHKAMOOOOO umeninyorosha haswa.
Screenshot_20230620-180619.jpg
 
Napenda kukaa alone nikila muziki na bata ndogo ndogo zisizowakwaza wengine kama hivi👇 Inanipa raha sana na Nafasi ya Kufikiri Ukuu wa Mungu. Sipendi kuongea na watu nasikiza muziki kuliko Watu. Sipend starehe zinazonitoa nyumbani ndio maana Nafagilia vitu vyangu hapo mezani.
 

Attachments

  • 255745479916_status_408a99f5d6114d4b8685beed3fdf3861.jpg
    255745479916_status_408a99f5d6114d4b8685beed3fdf3861.jpg
    125.2 KB · Views: 3
Nilifikiri bandari zangu nilizopewa baada ya mkeka wangu kutiki.

Sa100 alibet eti ubingwa unaenda Arsenal akaweka bandari za Tanganyika.

Mimi nikabet ubingwa unaenda Man City nikaweka kontena la tende za Madina.

Mkeka wangu ukatiki nikapewa bandari kiulaini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama mkwe km mama mkwe.
Wizooooh emu niwacheee
mama mkwe ni mjeda wizo nakula nakozi daily 😭 yaani nafumuliwa jamanii hili bichwa limeshakuwa CHAPATI ananibutua nakozi za kwenye komwe tu yanii mweeeh 😭😭
 
Back
Top Bottom