Ulifikiria nini kutumia Avatar unayoitumia sasa?

Nilifikiri bandari zangu nilizopewa baada ya mkeka wangu kutiki.

Sa100 alibet eti ubingwa unaenda Arsenal akaweka bandari za Tanganyika.

Mimi nikabet ubingwa unaenda Man City nikaweka kontena la tende za Madina.

Mkeka wangu ukatiki nikapewa bandari kiulaini.
 
Napenda kukaa alone nikila muziki na bata ndogo ndogo zisizowakwaza wengine kama hiviπŸ‘‡ Inanipa raha sana na Nafasi ya Kufikiri Ukuu wa Mungu. Sipendi kuongea na watu nasikiza muziki kuliko Watu. Sipend starehe zinazonitoa nyumbani ndio maana Nafagilia vitu vyangu hapo mezani.
 

Attachments

  • 255745479916_status_408a99f5d6114d4b8685beed3fdf3861.jpg
    125.2 KB · Views: 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama mkwe km mama mkwe.
Wizooooh emu niwacheee
mama mkwe ni mjeda wizo nakula nakozi daily 😭 yaani nafumuliwa jamanii hili bichwa limeshakuwa CHAPATI ananibutua nakozi za kwenye komwe tu yanii mweeeh 😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…