Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

Asilimia kubwa kwenye huu uzi wafikisha 10mil kwa ku sevu….
Kutoka kwenye mshahara…

Tunasubiri waliofikisha pesa hiyo kwa kifanya deals , biashara, Na mbinu nyingine nao wachangie…
 
Habari jf

Katka kupambana na maisha kuna malengo tunajiwekea Shida ni changamoto ya kuyafikia. Mwanzo mwa mwaka 2016 nilijiwekea target kufikisha milion 3.

Kwangu ilikuwa hela nyingi coz nilikua nasoma na hela ambazo nilikuwa nashika ni laki laki mwisho laki 5 balance ya akiba laki moja!!... Lakini baadae nilipataga kazi kwahiyo kushika milion 3 ikawa siyo kazi but siyo akiba!! Unakuta hiyo milioni tatu ndio ufanye kila kitu akiba au saving ndio laki 3 au 5.

Najaribu kupambana nifike milioni 10 wapi!!

Kila ikifika milioni 3 au 4 napata shida natumia. Sasa nilitaka tubadilishane experience na wanajf wenzangu ambao mmeshavuka huko au mna idea.

NB: Hapa naongelea saving, hela unayoisave baada ya kufanya mambo mengine.

Je, wewe ulifikishaje milioni 10 yako ya mwanzo?
kubeti ndio mpango mzima
 
Vip ushafikisha hiyo million 10 nije kukukopa ?
 
Jana tu Yanga alikua na Odi 2 na chenchi ya kutolea,nikachoma Million 5 petpawa. Ndani ya Dk100 message ikajaa juu inawaka green 💚 million 10. Sirudii tenaa maana roho ilikua mkononii👐🤣
Bila screenshot huu ni uongo
 
Back
Top Bottom