Uligunduaje rafiki/jamaa/ndugu/jirani yako ana akili sana a.k

Uligunduaje rafiki/jamaa/ndugu/jirani yako ana akili sana a.k

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
Hapa siongelei zile akili za darasani au utafutaji wa hela (hii formula tu)
Nilikua na jirani yangu, yeye anafanya kazi kama mwalimu wa Kiswahili ila ukimuuliza mada yoyote juu ya sayari, anga za mbali na ulimwengu kiujumla kichwa kina chaji balaa, nikamuuliza kwanini hajaenda kusomea masomo ya sayansi akaniambia nisichanganye hobby na kazi
 
Kuwa na akili ni kujua mambo mengi ya dunia?
 
Back
Top Bottom