Uliishije baada ya kugundua huna nyumbani tena , wala huna mtu yeyote wa kusikiliza shida zako

Uliishije baada ya kugundua huna nyumbani tena , wala huna mtu yeyote wa kusikiliza shida zako

Wakuu kwema.
Naomba tusaidiane huu uzoefu


Unabidi uwekeze nguvu katika FAMILY na sio Relative

Familia -ni watu ambao unawatengeza wewe ili muweze kuinuana na familia sio lazima wawe watu mnaotoka tumbo moja au ndugu


Relative - hawa ni ndugu hivyo katika jamii za kiafrika ndugu au wanaukoo huwa hawana utamuduni wa kuinuana ,kusaidiana katika nyakati ngumu .


Hivyo wapende Sana ndugu zako na wanaukoo

Ila kuwa na family (familia yako) watu ambao unawatengeneza wewe mwenyewe ili msaidiane katika shida na furaha.

Love ur relatives but build ur family.
 
Wakuu kwema.
Naomba tusaidiane huu uzoefu
You have two option get hard or get soft. Wekeza nguvu kwneye familia yako haswa watoto, pambana hasa.
Ndugu ni formality tu watachagua wenyewe kuku support or kukuacha alone , whatever it is huna power ya kuwa control , wewe pambana na vyako
 
Back
Top Bottom