T The choosen one1 Member Joined Dec 13, 2023 Posts 67 Reaction score 238 Aug 10, 2024 #1 Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu
Swahili AI JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 10,174 Reaction score 89,364 Aug 10, 2024 #2 Karibu kitaa, elimu ya mtaa ndio kila kitu.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Aug 10, 2024 #3 The blessed one1 said: Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu Click to expand... Unabidi uwekeze nguvu katika FAMILY na sio Relative Familia -ni watu ambao unawatengeza wewe ili muweze kuinuana na familia sio lazima wawe watu mnaotoka tumbo moja au ndugu Relative - hawa ni ndugu hivyo katika jamii za kiafrika ndugu au wanaukoo huwa hawana utamuduni wa kuinuana ,kusaidiana katika nyakati ngumu . Hivyo wapende Sana ndugu zako na wanaukoo Ila kuwa na family (familia yako) watu ambao unawatengeneza wewe mwenyewe ili msaidiane katika shida na furaha. Love ur relatives but build ur family.
The blessed one1 said: Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu Click to expand... Unabidi uwekeze nguvu katika FAMILY na sio Relative Familia -ni watu ambao unawatengeza wewe ili muweze kuinuana na familia sio lazima wawe watu mnaotoka tumbo moja au ndugu Relative - hawa ni ndugu hivyo katika jamii za kiafrika ndugu au wanaukoo huwa hawana utamuduni wa kuinuana ,kusaidiana katika nyakati ngumu . Hivyo wapende Sana ndugu zako na wanaukoo Ila kuwa na family (familia yako) watu ambao unawatengeneza wewe mwenyewe ili msaidiane katika shida na furaha. Love ur relatives but build ur family.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Aug 10, 2024 #4 The blessed one1 said: Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu Click to expand... You have two option get hard or get soft. Wekeza nguvu kwneye familia yako haswa watoto, pambana hasa. Ndugu ni formality tu watachagua wenyewe kuku support or kukuacha alone , whatever it is huna power ya kuwa control , wewe pambana na vyako
The blessed one1 said: Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu Click to expand... You have two option get hard or get soft. Wekeza nguvu kwneye familia yako haswa watoto, pambana hasa. Ndugu ni formality tu watachagua wenyewe kuku support or kukuacha alone , whatever it is huna power ya kuwa control , wewe pambana na vyako