Ulijifunza lini kupiga mruzi ( winja)? Mi nimeshanga najua tu kupiga

Labda ni vile wahuni wanaitiaga nao mademu
 
Aiseee!!! Me mpaka leo
Cjajua yan af cha ajabu
Washkaj wang wa mtaan
Nliokua nao wote wanajua
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nilipoanza kufukuzia hawa ma manzi, nlkua natumia mruzi/ mbinja kuwaita,,,,
 
Pale ambapo ng'ombe alikua akisara, nilkua natumia ile mbinja ya kukata na kuendeleza
 
Hii Story Ingekua Tamu Ka ma kungekuwa Na Ka Picha
 
Kipindi hicho bado KINDA, naandamana na NDUGU na JAMAA katika kumbi za SINEMA.

Nilikuwa navurugwa na kusisimuka kwa furaha, Nyota wa Movie (starring )alipokuwa anawapiga wapinzani wake, kwa vipigo mchanganyiko na mfululizo, WATAZAMAJI WANAAMKA KWA SHANGWE NA MIRUZI MFULULIZO...!!

Baada ya kuwa mtu mzima, nilikuja kugundua kuwa walikuwa ni washamba na watu wasio weza kuhimili mihemko yao.

ILA ILIKUWA SAFI SANA...
 
Jamii forum ina mambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…