Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
[emoji3]Safari ya mwisho kaburiMbona me sijawahi kuteseka na mapenzi au sjui sijawahi penda. [emoji23] Na sijui nitapenda lini coz tyr nimeoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Muda huponya, alishanitoka kabisa japo ilikuwa ni jambo gumu mno.Habari wakuu
Ulijihisi vipi ulipotakiwa kumuacha aende mtu uliempenda sana akakuingia mpaka mishipani.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
usihofu upo kwenye denial bado ndo kwanza stage ya kwanza ya huzuni itakuchukua muda ila utapona.Habari wakuu
Ulijihisi vipi ulipotakiwa kumuacha aende mtu uliempenda sana akakuingia mpaka mishipani.