Ulijijuaje kuwa wewe ni mrembo sana?

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,039
Reaction score
4,889
1. Ulikuwa na umri gani na ni nini kilisababisha kujua kuwa wewe ni mrembo?

2. Baada ya kujua wewe ni mrembo ulichukua uamuzi gani?

3. Je, unadhani urembo wako umekupa faida gani ya msingi ukilinganisha na wale ambao si warembo?
 
Mimi majibu yangu ni vice versa,

Nilijijua nina kasura kabaya baada ya kuona watoto wadogo wananiogopa, unakuta katoto hata kakiwa kanalia kakiniona kanauchuna ghafla kisha kanajikausha..!!

Faida niliyopata ni umaarufu baada kupata nafasi kwenye movie za kutisha, lakini ilianza Sunday School nilicheza nafasi ya shetani aliyemdanganya Eva pale bustanini..!!
 
Napiga kambi hapa kujua warembo ni kina nani, ili niweze jiridhisha nje ya sredi kama ni kweli ama si kweli πŸ˜‰
 
Safi sana! Wanawake wadesign yako huwaga watamu sana! Ningekua bwana CONTROLA ningekuimbisha mpaka ujae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…