Ulijisikiaje ulipopigwa ban

Ulijisikiaje ulipopigwa ban

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Wasalaam wajuba kwa fas dwacy apo niaje!!..Hopeful mambo ni OG,

Bas bhana nilipigwa ban ya siku kadhaa hivi,but Tarehe 9 mwezi huu niliposkia Rais Magufuli katoa msamaha kwa wafungwa na kuwaachia huru magerezani namimi nikawa najipa moyo pamoja na figo kuwa huenda namimi nikajumuishwa kwenye msamaha huo ili nifunguliwe namimi ban humu JF.!

Hii ban iliniathiri sana ukizingatia nimezoea daily lazima nitie madole na macho JF kujifunza,ku'refresh mind na vitu kaa izo but sikuweza tena,,

Kuna vitu naomba kuvijua kwa mtu aliepigwa ban,(1)Avatar yake huonekanaje?,(2)Je Nyuzi zake mtu aliepigwa huwa zipo au na zenyewe hufungiwa?,(3)Replies/Comments zake nazo huonekana au nazo hufungwa??,(4)Je ulijiskiaje na uli'miss nini ulipopigwa ban na kosa lilikua nini?

Nisaidieni wadau maswali hayo ma4..

@NgarenaroBoy.
 
Siku nimekula ban kila nikitaka kuchangia nyuzi mbalimbali naona haiwezekani, then nikagundua nimekuwa banned, kwa unyonge nikaenda kulialia kwa mods wanisamehe lakini waapii wakagoma, nikiangalia ban ilikuwa zaidi ya mwezi, nikasema wasinitanie hawaa, guess what?? Kilichofata wengi wanakijua.
 
Nilishapigwa ban mara mbili kipindi kile najiunga 2016....mara zote mbili alisababisha member fulani humu

Nilijisikia same vile mtu kakosea akapewa adhabu,japo ile ID ndio ilianza kunikosea lakini ningeweza kukaa kimya tu
 
Nilishapigwa ban mara mbili kipindi kile najiunga 2016....mara zote mbili alisababisha member fulani humu

Nilijisikia same vile mtu kakosea akapewa adhabu,japo ile ID ndio ilianza kunikosea lakini ningeweza kukaa kimya tu

Kuna watu wanaweza wakakusababishia ban nje nje, dawa yao ni kuwaepuka tu. Mtaani tunasema wasije wakakusababishia "mada kesi"
 
Write your reply...walinipa moja ndefu takatifu kuna nyengine ya kuwahi siti pia niliipata
 
Mimi nilipigwa ban mwezi nimeachiwa tar 18/12 Siku hiyo hiyo nimeachiwa nikapost thread kulalamika nimepewa ban ya siku mbili eti nimerudisha matusi jukwaani ila nimeachiwa leo tar 20/12 sasa ni mtu huru.Ila kuna mtu unatukana wenzake tukimrudishia anawatag mods wanatupiga ban,humu kuna uonevu sana
 
Zingatieni sheria na kanuni zilizowekwa ban mtazisikia kwenye bomba tu.

Ahsante.
 
Humu wapo watu wa kila rika hivyo suala la kuzingatia lugha yenye staha ni jambo lisiloepukika.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom