Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,123
- 2,449
Wasalaam wajuba kwa fas dwacy apo niaje!!..Hopeful mambo ni OG,
Bas bhana nilipigwa ban ya siku kadhaa hivi,but Tarehe 9 mwezi huu niliposkia Rais Magufuli katoa msamaha kwa wafungwa na kuwaachia huru magerezani namimi nikawa najipa moyo pamoja na figo kuwa huenda namimi nikajumuishwa kwenye msamaha huo ili nifunguliwe namimi ban humu JF.!
Hii ban iliniathiri sana ukizingatia nimezoea daily lazima nitie madole na macho JF kujifunza,ku'refresh mind na vitu kaa izo but sikuweza tena,,
Kuna vitu naomba kuvijua kwa mtu aliepigwa ban,(1)Avatar yake huonekanaje?,(2)Je Nyuzi zake mtu aliepigwa huwa zipo au na zenyewe hufungiwa?,(3)Replies/Comments zake nazo huonekana au nazo hufungwa??,(4)Je ulijiskiaje na uli'miss nini ulipopigwa ban na kosa lilikua nini?
Nisaidieni wadau maswali hayo ma4..
@NgarenaroBoy.